pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #121
Dah, haya sawaEndelea kukaza fuvu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, haya sawaEndelea kukaza fuvu....
Hapa tutakudanganya, rudi rita kwa maelezo yalio sahihi.Mie baba ni mtanzania, mama ni mkenya
Mpaka sasa ana uraia wa inchi mbili mpaka atakapofika 18
Ila wakuu nimeomba kwa anaejua tafadhali anielekeze naona uvivu kurudi tena rita
Hapo uhakikaHapa tutakudanganya, rudi rita kwa maelezo yalio sahihi.
Na haya yote yanasababishwa na chama Cha mazezeta Tanzania CCMTanzania kuna ujinga sana kwenye jambo hilo.
Siku ukienda kumwandikisha shule ndiyo utafahamu ujinga wetu. Mwalimu shule atakwambia huyu siyo Mtanzania nenda wizara ya elimu, wizara ya elimu ukienda hakuna jibu la moja kwa moja, watakwambia nenda mambo ya nje, mambo ya nje watakwambia nenda mambo ya ndani watakwambialeta ushuzi, leta uharo, leta ujinga mpaka aandikishwe shule uko taabani. Ni ujinga ujinga mtupu, kote humo kila mtu anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Yaani hata ufanye vipi sasa hivi, ikifikia shule na kutaka passport yake mwenyewe ya kusafiri ndiyo utajuwa kuwa hatujuwi.
Hapana. Katiba ya nyerere ndiyo tatizo.Na haya yote yanasababishwa na chama Cha mazezeta Tanzania CCM
[emoji16][emoji16][emoji16]Endelea kusema kweli mkuu tena kila mahali hasa ukiwa na mkeo utapata majibu. Kuna siku utajua kwanini Ibrahim alimwambia mkewe adanganye kuwa yeye ni dada yake kule kwa mfalme wa Canaan.
Mwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda RITA wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa Tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Sheria za nchi yeyote duniani hutambua mtoto nchi anayozaliwa huwa raia wa hiyo nchi hadi afikie miaka 18 aamue mwenyewe anataka kuwa raia wa nchi ganiMwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda RITA wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa Tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Kwamba Tangazo la kuzaliwa ataliiba wapi?We jaza kazaliwa mkoa wa kwenu!
Siku ukienda kumwandikisha shule ndiyo utafahamu ujinga wetu. Mwalimu shule atakwambia huyu siyo Mtanzania nenda wizara ya elimu, wizara ya elimu ukienda hakuna jibu la moja kwa moja, watakwambia nenda mambo ya nje, mambo ya nje watakwambia nenda mambo ya ndani watakwambialeta ushuzi
[emoji16][emoji16][emoji16]Moderators fungeni huu uzi maana mleta mada hana akili timamu
Nchi zote hutambua haki za mtoto hata uende Marekani au ulayaTanzania kuna ujinga sana kwenye jambo hilo.
Siku ukienda kumwandikisha shule ndiyo utafahamu ujinga wetu. Mwalimu shule atakwambia huyu siyo Mtanzania nenda wizara ya elimu, wizara ya elimu ukienda hakuna jibu la moja kwa moja, watakwambia nenda mambo ya nje, mambo ya nje watakwambia nenda mambo ya ndani watakwambialeta ushuzi, leta uharo, leta ujinga mpaka aandikishwe shule uko taabani. Ni ujinga ujinga mtupu, kote humo kila mtu anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Yaani hata ufanye vipi sasa hivi, ikifikia shule na kutaka passport yake mwenyewe ya kusafiri ndiyo utajuwa kuwa hatujuwi.
Atakuwa kalewa huyo mtoto.azaliwe Kenya halafu cheti cha kuzaliwa utafute TanzaniaUshamba mzgo hivi nani alikwambia uraia ni ukabila ety mtoto afuate uraia wa baba hiyo doesn't make sense man
Ushamba mwingine ety unaitafuta Kenya kwenye Rita ya Tanzania bro are you serious? Na umekazania kwel
Hv unadhania Kenya ni mkoa au ni sehem ya Tanzania
Dat stupidity
Usemayo ni sawa kabisa, nafahamu sana hilo, kuliko unavyofikiria.Nchi zote hutambua haki za mtoto hata uende Marekani au ulaya
Mtoto nchi anayozaliwa anakuwa raia wa hiyo nchi automatically hata kama wazazi wake wote wawili watanzania
Ila hupewa nafasi atabaki kuwa raia wa nchi husika hadi afikishe miaka 18 achague uraia
Akikaa kimya ataendelea kutambuliwa kama raia wa nchi alizaliwa
Mtoto hawezi zaliwa Kenya
cheti cha kuzaliwa ukataka upate Tanzania
Cheti.cha kuzaliwa mtu hupewa nchi alikozaliwa sio nchi ambayo hakuzaliwa
Mtoto nchi anayozaliwa anakuwa raia wa hiyo nchi automatically
Nafikiri sasa wamejua nini maana ya kusema ukweliKwamba Tangazo la kuzaliwa ataliiba wapi?
Je akifika 18 years atapewa?Nchi zote hutambua haki za mtoto hata uende Marekani au ulaya
Mtoto nchi anayozaliwa anakuwa raia wa hiyo nchi automatically hata kama wazazi wake wote wawili watanzania
Ila hupewa nafasi atabaki kuwa raia wa nchi husika hadi afikishe miaka 18 achague uraia
Akikaa kimya ataendelea kutambuliwa kama raia wa nchi alizaliwa
Mtoto hawezi zaliwa Kenya
cheti cha kuzaliwa ukataka upate Tanzania
Cheti.cha kuzaliwa mtu hupewa nchi alikozaliwa sio nchi ambayo hakuzaliwa
Atatengeneza vipi cheti cha kuzaliwa bila vielelezo?Hapo kuna kuruka mkojo kukanyaga mavi.
Kwa kuondokana na usumbufu Mimi namshauri atengeneze cheti cha kuzaliwa cha Tanzania, aondokane na usumbufu, Tanzania ina future nzuri kuliko Kenya.
Kwa kuwa kazaliwa kule, itakuwa wepesi kwake akikuwa w/ataamuwa wapi panamfaa zaidi.