pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
-
- #141
Waeleze manake jamaa wameshindwa kabisa kunielewaSio nchi zote zenye huu utaratibu including Tanzania...
Mtoto atakuwa na haki ya kupata cheti cha kuzaliwa cha nchi aliyozaliwa lakini sio uraia...
Kwa Tanzania ni hadi mzazi mmoja awe Mtanzania...
"Uraia wa Tanzania kwa Kuzaliwa.
Kwa mujibu wa Sheria ya Uraia ya Na. 6 ya Mwaka 1995, mtu yeyote anayefuzu kuwa raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni yule aliyezaliwa nchini Tanzania na ambaye wakati wa kuzaliwa kwake mmoja wa mzazi wake alikuwa raia wa Tanzania."
Sasa mie babake si ni mtanzania?Atakuwa kalewa huyo mtoto.azaliwe Kenya halafu cheti cha kuzaliwa utafute Tanzania
Maajabu ya dunia
Nitasema kweli daima, uongo kwangu mwiko[emoji16][emoji16][emoji16]
Nashauri upige namba zao za msaada uwaulize mkuu nahisi utapata majibu mazuri kwa wahusikaMwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda RITA wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa Tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Na mie nasubiria jibuAtatengeneza vipi cheti cha kuzaliwa bila vielelezo?
Zipo bize kweli kweli, nitaenda mwenyewe kabisa nikawahojiNashauri upige namba zao za msaada uwaulize mkuu nahisi utapata majibu mazuri kwa wahusika
Iama hawezi asitengeneze. Afate njia sahihi.Atatengeneza vipi cheti cha kuzaliwa bila vielelezo?