Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Kwahyo hapa naweza jenga picha kama anayezaliwa, anayekuwa kijana na anayezeeka ni tofauti pia?Hicho kitu hakiwezekaniki kwakuwa kinachokufa sicho kilichozaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo hapa naweza jenga picha kama anayezaliwa, anayekuwa kijana na anayezeeka ni tofauti pia?Hicho kitu hakiwezekaniki kwakuwa kinachokufa sicho kilichozaliwa
NdioKwahyo hapa naweza jenga picha kama anayezaliwa, anayekuwa kijana na anayezeeka ni tofauti pia?
Unaweza kunipa udadavuzi kidogo ni namna ipi inatokea utofauti huo kwa mtu mmoja?Ndio
Kimo ufahamu uzito rangi nkUnaweza kunipa udadavuzi kidogo ni namna ipi inatokea utofauti huo kwa mtu mmoja?
Nimeanza kupata kitu hapaKimo ufahamu uzito rangi nk
Ni sawa na kupanda mbegu imee ibadilike itoe mizizi majani matawi maua matunda hatimaye kuzeeka na kufa tena tunaita revolutionNimeanza kupata kitu hapa
Maana hata muinekano wa sura unapokuwa mdogo, unapokuwa kijana na unapozeeka huwa ni tofauti kbsa ila je ule udogo au ujana huwa unakwenda wapi? Au ile sura ya utoto inapotelea wapi?
Mkuu,umegusa hisia zangu.Kifo ni hali ya kawaida katika ulimwengu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Na mwisho wa kimoja ndio chanzo cha kingine. Kifo ni hali ambayo ina umuhimu sana. Kama kungekuwa hakuna kifo ulimwengu usingefika hapa tulipo na uhai usingekwepo.
Nyota zinazaliwa kupitia Star dust na zinakuwa jua. Jua kinazidi kukua kutokana na reaction ya hydrogen na kuwa Red Giant. Red giant zinakua na gas ya reaction inazidi kuisha na kupasuka na kuwa Nebula. Nyota hufa. Sayari nazo zinashikiliwa na nyota na kisha nyota ikipasuka inatengeneza black hole kuzichukua na sayari za karibu na kuzikusanya pamoja na inakuwa mwisho wao.
Volcano inatengeneza mwamba wa igneous, igneous rock inakuwa weathered na kufa na kuwa Sedimentary rock, sedimentary rock au igneous rock zinaweza kuwa forced na pressure na joto na kuwa metamorphic rocks.
Maji yanatoka katika hali ya maji, kuwa mvuke, kuwa mvua, kuganda na kathalika.
Kila kitu unachokiona ulimwenguni kinabadilika. Kila kitu kilochozaliwa/ chenye mwanzo kinazeeka na kufa/kupotea kabisa. Gari uliyonayo leo hii sio sawa sawa na ile uliyoinunua. Probably tairi hazipo sawa, mafuta na oil sio sawa na haiwezi kukaa zaidi ya miaka 200 itachakaa tu hata kama ukiwa hauiendeshi. Nyumba uliyonayo baada ya miaka 100 na zaidi itachakaa tu na kuwa gofu. Kila kitu kinachakaa (kinazeeka) na kutofaa kutumika (kufa).
Kila sekunde seli zetu zinabadilishwa na kuwekwa mpya. Sayansi inasema ndani ya miaka 2 kila seli ya mwili imebadilika.
Kifo ni hali ya kawaida. Ni hali isiyowakumba tu binadamu na viumbe bali ni sehemu ya hali ya ulimwengu. Faida yake kifo kinarudisha upya kitu kimoja kuwa kingine.
Ukifa mwili unakuwa mbolea na kila element uliyookusanya ulipokuwa unakula inarudi kuwa sehemu ya ardhi.
Pia kifo ni fundisho. Kuwa hakuna ambacho umekuja nacho na hakuna utakachoondoka nacho. Kila mali, mke/mme, pesa, tittle, kazi, raha, shida, na kila kitu unakiacha.
Hivyo kumbuka kutenda mema. Matokeo ya matendo yako (Karma) ndio mavuno ya pekee ambayo utaondoka nayo katika maisha baada ya kifo cha mwili huu wa sasa
Mmmh[emoji23] [emoji23] [emoji23] lililokufwa