Anayejua kuhusu kifo

Kimo ufahamu uzito rangi nk
Nimeanza kupata kitu hapa

Maana hata muinekano wa sura unapokuwa mdogo, unapokuwa kijana na unapozeeka huwa ni tofauti kbsa ila je ule udogo au ujana huwa unakwenda wapi? Au ile sura ya utoto inapotelea wapi?
 
Ni sawa na kupanda mbegu imee ibadilike itoe mizizi majani matawi maua matunda hatimaye kuzeeka na kufa tena tunaita revolution
 
Mkuu,umegusa hisia zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…