Anayejua kupika chipsi vuruga anielekeze

Anayejua kupika chipsi vuruga anielekeze

Hayo ni makange ya chipsi na unaweza weka nyama ya ng'ombe au kuku katika huo mvurugo kuongeza ladha nzuri na shibe.
 
Mko poa familia,

Jamani nina hamu na chipsi vuruga leo hatari, ila sijui kuziandaa. Sitaki kwenda kununua naombeni kuelekezwa ili niandae mwenyewe.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

maxresdefault.jpg

Picha kutoka maktaba
Kula ugali wewe acha vyakula vya kidosi.
 
Nilivyosoma huu uzi nilikuwa na wife nikamulixa anajua kupika hii kitu akansema ndio

Sasa akawa ananiambia jinsi ya kupika na mie nikatype jamaa apate msaada wa kupika. Huku watu hawajishughulishi na uzi za msingi wanachelew kujibu. Au wengi wako kwenye nyuzi za KATAA NDOA 😁

Nimemsaidia njia kwa maelekezo ya wore tu ila hata mimi sijawahi kula kweli.
Kamaa umeoa na haujawahi kupikiwa chips vuruga. Hiyo ndoa ya nini?
 
Kamaa umeoa na haujawahi kupikiwa chips vuruga. Hiyo ndoa ya nini?
#Kataa ndoa #ndoa ni utapeli
Sasa kama chakula nachopenda ni machalari, ndizi za maharage, Kiburu, ugali tembele, siku moja moja Michele napata wapi mda wa kula chips vuruga😀😃😄

Kama vipi nimuoe Demi labdq yeye atanipikia chips vuruga

Ila mleta mada mtu wa ajabu kweli hata kutupia kapicha
 
Chips vuruga alafu uchanganye na mayai, dagaa nyama, maharage ya njano na salad alafu kwa mbali unaweka ka ukwaju na pilipili ya parachichi huwa ni 🔥 utakuja ujing'ate ulimi.
 
Chips vuruga alafu uchanganye na mayai, dagaa nyama, maharage ya njano na salad alafu kwa mbali unaweka ka ukwaju na pilipili ya parachichi huwa ni 🔥 utakuja ujing'ate ulimi.
Chips zinaliw na maharage? mayai? Parachichi? huo mtego sio mzuri unaweza ua watu kwenye daladala.
 
Back
Top Bottom