Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Mm afadhali cabbage kuliko mchichaKama mie siipendi balaa na kabechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm afadhali cabbage kuliko mchichaKama mie siipendi balaa na kabechi
Chips vuruga alafu uchanganye na mayai, dagaa nyama, maharage ya njano na salad alafu kwa mbali unaweka ka ukwaju na pilipili ya parachichi huwa ni 🔥 utakuja ujing'ate ulimi.
Mi nataka kuolewa na mwanaume anae jua kupikaSasa kama chakula nachopenda ni machalari, ndizi za maharage, Kiburu, ugali tembele, siku moja moja Michele napata wapi mda wa kula chips vuruga😀😃😄
Kama vipi nimuoe Demi labdq yeye atanipikia chips vuruga
Ila mleta mada mtu wa ajabu kweli hata kutupia kapicha
Maharage unaweka kidogo tu, mayai kama mawili yanatosha na salad pia unaweka kidogo.Chips zinaliw na maharage? mayai? Parachichi? huo mtego sio mzuri unaweza ua watu kwenye daladala.
Anaejua kipika chips vuruga? 🤣🤣🤣🤣🤣Mi nataka kuolewa na mwanaume anae jua kupika
Vyakula aina mbali mbali, ananikosha sana mwanaume wa hivyoAnaejua kipika chips vuruga? 🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli ukiishi mda mrefu utaona mengi😀 huu msosi niliwaza tu utakuw dawa ya tumboMaharage unaweka kidogo tu, mayai kama mawili yanatosha na salad pia unaweka kidogo.
Unachukua parachichi moja unachanganya na kabichi kidogo na pilipili, alafu ukwaju unatengeneza uwe mzito unatia ndimu kwa mbali na sukari. Usisahau kuweka soy sauce kwenye vuruga yako! Jaribu siku ukiwa free utanikumbuka in your whole life.
Faida zake ni kubwa mno ikiwemo kulainisha choo, kuifanya ngozi kuwa na mng'ao, kulainisha utumbo mkubwa, kukukinga na saratani ya matiti na kizazi na pia kuimarisha hisia upande wa kike na kiume yaani inaongeza akshi sana! Try it narudia jaribu utaleta mrejesho.
Unahitaji mpishi au mume😄 unaniua mbavu zangu🤣Vyakula aina mbali mbali, ananikosha sana mwanaume wa hivyo
Mume sio mpishi, tushauriane leo tule nini...tujaribu mapishi mbalimbali, na mara chache nile chakula alichopika yeyeUnahitaji mpishi au mume😄 unaniua mbavu zangu🤣
Anatakiw ajue kufua na kudeki pia?
Aah hapo sawaMume sio mpishi, tushauriane leo tule nini...tujaribu mapishi mbalimbali, na mara chache nile chakula alichopika yeye
Imagine mnapika pamoja halafu na yale mambo yetu mengine yanaendelea 😋, huku mkinywa wine taratibu. mmebaki wawili tu ni weekend watoto wameenda kusalimia babu na bibi.Aah hapo sawa
Inapendeza sana. Hata kupika pamoja inajenga ukaribu zaid.
😀😃😄Imagine mnapika pamoja halafu na yale mambo yetu mengine yanaendelea 😋, huku mkinywa wine taratibu. mmebaki wawili tu ni weekend watoto wameenda kusalimia babu na bibi.
Sijawah jaribu hii kabla unaweza zeeka ukaw hujaishi umesindikiza wenzako hapa dunianBora wewe, mtoa mada baada kuivisha kala kimyakimya bila hata kukaribisha.