Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sasa mbona wao wanaandamana bila kibali huku wakiwatisha wananchi!Wanatishia rai wasiandamane November 9, kudai Katiba mpya na Huru ya Uchaguzi
Yaani hawa watatu mikono mitupu ndio wanabebewa makombora? Sidhani, labda kulikuwa na majoka makubwa yakishuka mlima Loleza.Wanajambisha hao.
Mwabukusi na Mdude na wana Mbeya wanaojielewa go on..))
Wapigie simu.Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu kuna amani nyie mmebeba silaha nzito! Walimjibu hakuna tatizo kuna amani tu, naye akaitikia japo kwa mashaka.
Anayejua huko Mbeya kunanini mpaka polisi waandamane huku wakibeba makombora, atujuze.
Wako bize.Wapigie simu.
WAPE KICHWA TU WENZIO WAENDE WAKAVUNJWE MIGUU WE UKO NYUMBANI HAHAHAAWanajambisha hao.
Mwabukusi na Mdude na wana Mbeya wanaojielewa go on..))
**** Amani tele tu hakuna shida.Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu kuna amani nyie mmebeba silaha nzito! Walimjibu hakuna tatizo kuna amani tu, naye akaitikia japo kwa mashaka.
Anayejua huko Mbeya kunanini mpaka polisi waandamane huku wakibeba makombora, atujuze.
Anapigwa mkwala Mwabukusi na Mdude . Aibu sana kwa jeshi la polisi.Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu kuna amani nyie mmebeba silaha nzito! Walimjibu hakuna tatizo kuna amani tu, naye akaitikia japo kwa mashaka.
Anayejua huko Mbeya kunanini mpaka polisi waandamane huku wakibeba makombora, atujuze.
Walibeba makombora yote waliyonayo.Anapigwa mkwala Mwabukusi na Mdude . Aibu sana kwa jeshi la polisi.
Wanawatisha wananchi bila sababu.**** Amani tele tu hakuna shida.
Unachanganya maandamano na mazoezi ya kijeshi kwa kutokujuwa Kiswahili au kwa makusudi kabisa?Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu kuna amani nyie mmebeba silaha nzito! Walimjibu hakuna tatizo kuna amani tu, naye akaitikia japo kwa mashaka.
Anayejua huko Mbeya kunanini mpaka polisi waandamane huku wakibeba makombora, atujuze.
Mazoezi ya kijeshi unafanyia kwenye mitaa ya Uhindini, Mabatini, Nzovwe na Mbalizi! Wangekwenda Kawetere wakafyatua makombora ningeelewa, lakini hawa walikuwa wanatembea na wengine kwenye magari.Unachanganya maandamano na mazoezi ya kijeshi kwa kutokujuwa Kiswahili au kwa makusudi kabisa?
Wewe ni Mtwnzania au mlowezi?maana tunafahamu Mbeya kuna walowezi wengi.