Anayejua kwanini Polisi jijini Mbeya jana Jumamosi 04/11 waliandamana atujuze

kujiandaa kufanya kazi yao kwa ufanisi, mbona RPC alielezea vizuri au unataka kutuletea uzushi wako hapa km mlivyozoea
 
Jeshi la kikoloni hupita mitaani kuitisha watu wanaojidai haki Yao... Tofauti ni kwasasa polisi SI wazungu ni meusi menzetu
 
Polisi wanadhalilishwa sana !
 
President jk aliingiza wanajeshi Mbeya siku ya uchaguzi mkuu, Mwenyekiti wa IPP alionyesha mauaji ya kimbari usiku wa uchaguzi mkuu, nchi hii ina vituko vingi sana,hii yote ni kulinda status ago za royal families
 
Wamejiabisha sana..
Hovyoo kabisaa...
 
Mazoezi ya kijeshi unafanyia kwenye mitaa ya Uhindini, Mabatini, Nzovwe na Mbalizi! Wangekwenda Kawetere wakafyatua makombora ningeelewa, lakini hawa walikuwa wanatembea na wengine kwenye magari.
Ulitaka mazoezi ya polisi yafanyiwe porini? Kwa askari wa wanyamapori hao?
 

Mbeya wapigwe tu.
 
Dress rehearsal for 9/11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…