Anayejua kwanini Polisi jijini Mbeya jana Jumamosi 04/11 waliandamana atujuze

M
Unachanganya maandamano na mazoezi ya kijeshi kwa kutokujuwa Kiswahili au kwa makusudi kabisa?

Wewe ni Mtwnzania au mlowezi?maana tunafahamu Mbeya kuna walowezi wengi.
Azoezi ya kijeshi wanafanya mitaani?
 
WAPE KICHWA TU WENZIO WAENDE WAKAVUNJWE MIGUU WE UKO NYUMBANI HAHAHAA
Watu si wanavunjwa miguu hata kwenye ajali za vyombo vya moto, je umesikia watu wanaacha kusafiri?
 
Rpc alishatoa ufafanuzi,tafuta video yake YouTube
 
Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa
 
Ukuta. Ila ni upumbafu kwa jeshi la wananchi kutumika katika harakati za kisiasa. Polisi tu walitosha kupiga mikwara. [emoji23]
 
Ukuta. Ila ni upumbafu kwa jeshi la wananchi kutumika katika harakati za kisiasa. Polisi tu walitosha kupiga mikwara. [emoji23]
Nchi hiikua upuuzi mwingi saana, kuna mijitu inatumika vibaya, haijui kesho haitakuwepo kwenye mamlaka vizazi vyao vitaishije, wakati wanaowatumikia wameshakwiba wameweka akiba kubwa kwa vizazi vyao.
 
Unachanganya maandamano na mazoezi ya kijeshi kwa kutokujuwa Kiswahili au kwa makusudi kabisa?

Wewe ni Mtwnzania au mlowezi?maana tunafahamu Mbeya kuna walowezi wengi.
Huyo ni kibaka, akiona polisi hata wakiwa kwenye shughuli zao yeye anawaza makosa yake na kuanza kuweweseka.
 
Mna vitisho vya kijinga sana ! halafu vitisho vya kizamani mno !
Miaka kama sita imepita polisi walipambana na raia Mbeya mpaka polisi wakakimbia. Wallishiwa maji, risasi za plastiki na mabomu ya machozi.
 
Na elimu inachangia katika kufanya reasoning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…