Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Salaam wakuu,

Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana.

Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala.

Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
 
Aliingia kwa mbwembwe kweli kama viongozi wengine wa kiafrika, lakini sasa hivi sijui kama kuna mtu anamuongelea tena.
 
Afya ya akili. Yaani uko zako Bonyokwa halafu unauliza Rais wa Zambia kalata maendeleo gani kwa watu wake wakati hata mtaani kwako tu hujui kinachoendelea?
 
Afya ya akili. Yaani uko zako Bonyokwa halafu unauliza Rais wa Zambia kalata maendeleo gani kwa watu wake wakati hata mtaani kwako tu hujui kinachoendelea?
Wewe ndio huna akili hujui kuwa hata ukiwa china au dubai au capetown unaweza kulogin JF na kuchangia kama kawaida.

Hapo zambia ni pua mdomo kuna wabongo wengi tu pia panapakana na mikoa ya kusuni magharibi lazuma kuna watu wapo huko

Huu uzi sio saizi yako
 
Back
Top Bottom