OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mjamii forum inawanachama afrika, ulaya na duniani kote.Nenda kawulize Wazambia watakujibu.
Au kama mtoto wa masikini muuza kuku William Ruto?Aliingia kwa mbwembwe kweli kama viongozi wengine wa kiafrika, lakini sasa hivi sijui kama kuna mtu anamuongelea tena.
Wewe ndio huna akili hujui kuwa hata ukiwa china au dubai au capetown unaweza kulogin JF na kuchangia kama kawaida.Afya ya akili. Yaani uko zako Bonyokwa halafu unauliza Rais wa Zambia kalata maendeleo gani kwa watu wake wakati hata mtaani kwako tu hujui kinachoendelea?
Umeonae? Afrika is Afrika.Au kama mtoto wa masikini muuza kuku William Ruto?