Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe.

kwamba ikitokea Injinia akifa ghafla basi hakuna mtu mwingine zaidi ya mchezaji atakayekuwa na ufahamu wa mikataba ya wachezaji? Kwamba hata aliyeuandaa hajui? Hata mwanasheria wa klabu hajui? Hata CEO wa klabu hajui? Hata tajiri mtoa fedha hajui? Hata ndugu wa karibu wa Fei (mfano Mama Fei) hajui?