Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

Mambo ya mwaka jana unauliza leo?
Kima cha chini 2023/2024 kitakuwa 400k.
Swali jingine?
 
Acha uhaya wewe [emoji23]

Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?

Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Kwanini mtumiane DM,tumeni humu na Sisi tuone
 
Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]

JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]

[emoji3][emoji3][emoji3] Ila JF[emoji849]
 
Acha uhaya wewe [emoji23]

Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?

Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Vita ya nshomile hii siwezi ingilia😂
 
Hapo hiyo 300K ukatumie
  1. Kulipa kodi ya nyumba
  2. Kununua chakula
  3. Umeme
  4. Maji
  5. Nauli ya kwenda na kurudi kazini
  6. Kununua mavazi
  7. Kusomesha watoto
Mwenye 3,000K
  1. Analipiwa kodi ya nyumba
  2. Umeme
  3. Maji
  4. Usafiri
  5. Posho za vikao kila kukicha
Unategemea ufanisi hapo?
Serikali ilitakiwa irudishe allowance za nyumba, chakula kazini, usafiri, maji, umeme na simu kwa watumishi wote wa umma ili kuwaondolea mzigo wa maisha ukichukulia vimshahara sungura kwa watumishi walio wengi.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…