Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Watakaofaidika NI wale wa MISHAHARA MIDOGO tu wewe subiri increment ya 7000 Mwezi July
We subiria nyongeza yako 21,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We subiria nyongeza yako 21,000
Kwanini mtumiane DM,tumeni humu na Sisi tuoneAcha uhaya wewe [emoji23]
Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?
Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Privacy & ConfidentialityKwanini mtumiane DM,tumeni humu na Sisi tuone
Sasa mambo yenye usiri unatoka wapi ujasiri wa hata kuyaongelea tena kwenye public kama hapa,tuache kujikwezaPrivacy & Confidentiality
Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]
Wapumzishe WalimuMwalimu upo frustrated sana... hiyo ni mwaka jana ilitoka 300 to 370K kima cha chini!!
Pole sana kama nakuona ulivyojaa mawazo kisa mikopo.
Upo BLACK/AMACHA.mshahara tayari nini maana hizi nyuzi zikiaanzaga
Vita ya nshomile hii siwezi ingilia😂Acha uhaya wewe [emoji23]
Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?
Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Serikali ilitakiwa irudishe allowance za nyumba, chakula kazini, usafiri, maji, umeme na simu kwa watumishi wote wa umma ili kuwaondolea mzigo wa maisha ukichukulia vimshahara sungura kwa watumishi walio wengi.Hapo hiyo 300K ukatumie
Mwenye 3,000K
- Kulipa kodi ya nyumba
- Kununua chakula
- Umeme
- Maji
- Nauli ya kwenda na kurudi kazini
- Kununua mavazi
- Kusomesha watoto
Unategemea ufanisi hapo?
- Analipiwa kodi ya nyumba
- Umeme
- Maji
- Usafiri
- Posho za vikao kila kukicha
umeandika kitu gani mkuuUpo BLACK/AMACHA.
Serikali ilitakiwa irudishe allowance za nyumba, chakula kazini, usafiri, maji, umeme na simu kwa watumishi wote wa umma ili kuwaondolea mzigo wa maisha ukichukulia vimshahara sungura kwa watumishi walio wengi.
naunga mkono hoja vinatakiwa kuwa included kwenye salaryNaunga mkono hoja
Wapi nimejikweza? Hebu oneshaSasa mambo yenye usiri unatoka wapi ujasiri wa hata kuyaongelea tena kwenye public kama hapa,tuache kujikweza
naunga mkono hoja vinatakiwa kuwa included kwenye salary