Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

Acha uhaya wewe [emoji23]

Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?

Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Mbioo🤣
 
Mama alishasema ni increment ya kawaida Sasa kwenye increment mwenye kikubwa ndio anapata kikubwa zaidi
 
Naombeni kuuliza, hivi ukipewa kiinua mgongo kabla ya mda wako wa kustaafu wala kukidai maana bado miaka mingi sana au ukiona hela kubwa sana kwenye acc yako unafanyaje?
 
Dah!
Poleni sana ndugu zangu
Tujitahidi tusizae watoto bila mpango, au tusizae kabisa tule bata tu na hiko kidogo tunachopata
Hatuishi milele, ya nini kuleta binadamu wengine wateseke kama sisi
 
Naombeni kuuliza, hivi ukipewa kiinua mgongo kabla ya mda wako wa kustaafu wala kukidai maana bado miaka mingi sana au ukiona hela kubwa sana kwenye acc yako unafanyaje?
Unaenda kutoa sadaka ya kujimaliza 😂😂
 
Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]

JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]
Tupo wa TZ atujasoma Wala kuishi nchini kwamuda mreru. Give him a break!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…