BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Cheo kipya kipya hichoUyo sio kapata nyongeza ya mshahara atakua kapanda grade hakuna nyongeza kubwa ivo [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheo kipya kipya hichoUyo sio kapata nyongeza ya mshahara atakua kapanda grade hakuna nyongeza kubwa ivo [emoji28]
Mbioo🤣Acha uhaya wewe [emoji23]
Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?
Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
Mama alishasema ni increment ya kawaida Sasa kwenye increment mwenye kikubwa ndio anapata kikubwa zaidiNaomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Una betia na kununua mabasiNaombeni kuuliza, hivi ukipewa kiinua mgongo kabla ya mda wako wa kustaafu wala kukidai maana bado miaka mingi sana au ukiona hela kubwa sana kwenye acc yako unafanyaje?
We jamaa daah 🤦♂️Una betia na kununua mabasi
Unaenda kutoa sadaka ya kujimaliza 😂😂Naombeni kuuliza, hivi ukipewa kiinua mgongo kabla ya mda wako wa kustaafu wala kukidai maana bado miaka mingi sana au ukiona hela kubwa sana kwenye acc yako unafanyaje?
Tupo wa TZ atujasoma Wala kuishi nchini kwamuda mreru. Give him a break!Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]
Rubish, empty set kabisa.Tupo wa TZ atujasoma Wala kuishi nchini kwamuda mreru. Give him a break!