Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Halafu yeye kila mwezi nyimbo moja..County boy si ameshasewa wanatoa nyimbo 2 kwa mwaka
Kaona mwenzake amejiita Dangote na yeye ameamua kijiita Bahresa,dogo anaiga kila kitu kilicho mbele yakeNgoja team Konde waje a.k.a wana wa Bakhressa
Ila konde kwenye a.k.a anakwama sana anacho fanya ana copy, edit & pest yaani anacheza na kinyume au mfananoKaona mwenzake amejiita Dangote na yeye ameamua kijiita Bahresa,dogo anaiga kila kitu kilicho mbele yake
Mwenzake anaijiita simba,yeye kaamua kujiita tembo,hiv ni lini atakuja na jambo lake jipyaaa?
Mwisho ataishiwa cha kukopi ataanza kusema wanamroga,afocus kwenye ubunifu aachane na vitu visivyo na maana kwakeIla konde kwenye a.k.a anakwama sana anacho fanya ana copy, edit & pest yaani anacheza na kinyume au mfanano