Anayejua mikataba ya wasanii wa Konde gang kuhusu utoaji wa nyimbo kuna utaratibu gani?

Anayejua mikataba ya wasanii wa Konde gang kuhusu utoaji wa nyimbo kuna utaratibu gani?

Akili ya kubeti

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
417
Reaction score
636
Habarini.

Nilikua naomba kujuzwa mwenye kujua mikataba ya wasanii kutoka Konde gang katika utoaji wa nyimbo wanafata utaratibu gani? Binafsi namkubali Ibraah na Killy Wana muda mrefu hawajatoa ngoma Kama Ibraah toka mwaka Jana hajatoa ngoma yoyote! Au Kuna project zinakuja labda naomba kufahamishwa.

WCB4LIFE
 
Kaona mwenzake amejiita Dangote na yeye ameamua kijiita Bahresa,dogo anaiga kila kitu kilicho mbele yake

Mwenzake anaijiita simba,yeye kaamua kujiita tembo,hiv ni lini atakuja na jambo lake jipyaaa?
Ila konde kwenye a.k.a anakwama sana anacho fanya ana copy, edit & pest yaani anacheza na kinyume au mfanano
 
Ila konde kwenye a.k.a anakwama sana anacho fanya ana copy, edit & pest yaani anacheza na kinyume au mfanano
Mwisho ataishiwa cha kukopi ataanza kusema wanamroga,afocus kwenye ubunifu aachane na vitu visivyo na maana kwake
 
Za chini chini kuna wengine wanataka kuikacha KONDE genge
 
Back
Top Bottom