Hata hao unaosema ni wazuri wana UTI na fungusukiula hapo utakua unakojolea pazuri sana,
madem wenye UTI utawasikia kwenye bomba
aiseeHata hao unaosema ni wazuri wana UTI na fungus
BOT na TCRA ni mashirika ya umma, mishahara tofauti na serikalini ujueMishahara huwa ni kawaida ila kinachowabeba Watumishi wa Serikali ni per diem na uwepo wa safari nyingi au mara kwa mara
Tcra vipi?Kuna jamaa yetu yuko BOT kitengo cha uhasibu,aliniambia kwa mwenye bachelor of account na cpa anaanza na 1.6m.ila viposho vipo vingi maana yeye yuko kwenye kitengo cha kusafirisha pesa.naona maisha yake sio haba hapo Dodoma.
MmhWanakula kuanzia m5+ chief.
SawasawaMishahara huwa ni kawaida ila kinachowabeba Watumishi wa Serikali ni per diem na uwepo wa safari nyingi au mara kwa mara
DuuhBOT na TCRA ni mashirika ya umma, mishahara tofauti na serikalini ujue
Tcra vipi?
Sema ni Tatizo Mtambukaš¤£Kwamba? Mbona kuna mademu wazuri wana YUTI YAI kali sana?
Nadhani swala la yuti yai ni swala la uelewa na usafi.
Shukran mkuu! UbarikiweKaka kuhusu TCRA hupaswi kabisa kuwa na shaka. Iko kwenye orodha ya taasisi zinazolipa watu wake vizuri. Sijui chanzo chao kikuu cha mapato ni nini ila jamaa wanalipa vizuri sana. Nenda kwenye parking lot yao uone aina ya gari zilizopakiwa pale itakupa picha.
Kama umepata, nenda kapige kazi na usisahau kutoa fungu la kumi kwa Mungu kwa mema aliyokutendea hadi ukaipata hiyo kazi.
NB: Ajira ni utumwa ila ajira inayolipa vizuri inakuweka katika mazingira rahisi ya kukusanya hela na kufanya mambo ya kibiashara ili kuzizalisha hizo hela.