Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

Kuna jamaa yetu yuko BOT kitengo cha uhasibu,aliniambia kwa mwenye bachelor of account na cpa anaanza na 1.6m.ila viposho vipo vingi maana yeye yuko kwenye kitengo cha kusafirisha pesa.naona maisha yake sio haba hapo Dodoma.
Tcra vipi?
 
Tcra vipi?

Kaka kuhusu TCRA hupaswi kabisa kuwa na shaka. Iko kwenye orodha ya taasisi zinazolipa watu wake vizuri. Sijui chanzo chao kikuu cha mapato ni nini ila jamaa wanalipa vizuri sana. Nenda kwenye parking lot yao uone aina ya gari zilizopakiwa pale itakupa picha.

Kama umepata, nenda kapige kazi na usisahau kutoa fungu la kumi kwa Mungu kwa mema aliyokutendea hadi ukaipata hiyo kazi.

NB: Ajira ni utumwa ila ajira inayolipa vizuri inakuweka katika mazingira rahisi ya kukusanya hela na kufanya mambo ya kibiashara ili kuzizalisha hizo hela.​
 
Shukran mkuu! Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom