Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
-
- #21
Bado combination ndogo tu,tutatishaYanga tuna timu nzuri sina wasiwasi
Pale ni kwa mchina.Hivi wale wamakonde wanavyoruka ruka Simba tulivyoingia kwa kupoza mechi ndo waje wapone kwa Mkapa? Acha masihara # Taifa kubwa
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huuYanga wachezaji hawajiamini Ilo la Kwanza pili Yanga Hanna play maker Kama mlivyokua na kamusoko,Niyonzima timu haina uwiano Kati ya ukabaji na viungo wabunifu,Yanga sifa yake kuwa na winga hatari ila hata winga msimu huu hamna kitu
Kwasababu kila mtu anajicho, acha tuishie hapoGadiel hakuwa na Tatizo shiboub hakuwa na shida Sana sema sisi tulingia kupata sare maana kihistoria msumbiji sio Salama kwetu na pia ile timu ni nzuri
Mapinduzi yupo vizuri Sana sema End product yake sio nzuriMapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
Zahera pia kachangia timu kutokua na muunganiko maana anajua kasajiri kikosi kizima halafu hajakaa na Timu kambini kujua mahitaji na udhaifu wa wachezaji wakeMapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
Hili kweli kabisaZahera pia kachangia timu kutokua na muunganiko maana anajua kasajiri kikosi kizima halafu hajakaa na Timu kambini kujua mahitaji na udhaifu wa wachezaji wake
Hakuna kitu kama hicho kwenye mpira.. kushinda ndio kunatafutwa na sio sareKwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Hapa nimekuelewa walewale...Bado combination ndogo tu,tutatisha
Ushindi nyumbaniHakuna kitu kama hicho kwenye mpira.. kushinda ndio kunatafutwa na sio sare
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
Hakuna timu isiyotaka ushindiKwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
MORINGAKwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.
Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.
Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.
Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.
Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
sio hayuko fiti,akili hana,krosi gani zile!?..ile nafasi ya kumuwekea mtu afunge ye kabutua,yule ni mchezajiwa ligi daraja la pili siyo yangaKweli kabisa Mkuu, Nafasi ninayoitilia mashaka ni ya Aly Aly bado hayuko Fit.
👍YANGA OUT
SIMBA NEXT STAGE
Mbona unajishuku?Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.
Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.
Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.
Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.
Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
Mimi wasi wasi wangu na huyu dogo ni ule wazimu wake wa kufunga magoli golini kwake.Kweli kabisa Mkuu, Nafasi ninayoitilia mashaka ni ya Aly Aly bado hayuko Fit.