Anayejua mpira ataelewa hili

Anayejua mpira ataelewa hili

Hivi wale wamakonde wanavyoruka ruka Simba tulivyoingia kwa kupoza mechi ndo waje wapone kwa Mkapa? Acha masihara # Taifa kubwa
Pale ni kwa mchina.
Jina Mkapa lina GUNDU.
 
Yanga wachezaji hawajiamini Ilo la Kwanza pili Yanga Hanna play maker Kama mlivyokua na kamusoko,Niyonzima timu haina uwiano Kati ya ukabaji na viungo wabunifu,Yanga sifa yake kuwa na winga hatari ila hata winga msimu huu hamna kitu
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
 
Gadiel hakuwa na Tatizo shiboub hakuwa na shida Sana sema sisi tulingia kupata sare maana kihistoria msumbiji sio Salama kwetu na pia ile timu ni nzuri
Kwasababu kila mtu anajicho, acha tuishie hapo
 
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
Zahera pia kachangia timu kutokua na muunganiko maana anajua kasajiri kikosi kizima halafu hajakaa na Timu kambini kujua mahitaji na udhaifu wa wachezaji wake
 
Kwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Hakuna kitu kama hicho kwenye mpira.. kushinda ndio kunatafutwa na sio sare
 
Binafsi Yanga nimeona wapo vizuri sana kama tu watapata muda wa kutosha na kutengeneza chemestry ya wachezaji ila wapo sawa the same aply kwa simba ila simba wako vizuri zaidi hada ukizingatia wachezi wengi bado ni wale wale.
 
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu

Mapinduzi Balama na Mohamed Issa wakiimarika itakuwa balaa, pia Ally Ally sikutegemea kwa namba aliyocheza angejitahidi vile, Sibomana na Balinya sina shaka nao,.bado tu Syidney ndio wa kumtazama zaidi
 
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.

Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.

Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.

Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.

Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
MORINGA
 
Kweli kabisa Mkuu, Nafasi ninayoitilia mashaka ni ya Aly Aly bado hayuko Fit.
sio hayuko fiti,akili hana,krosi gani zile!?..ile nafasi ya kumuwekea mtu afunge ye kabutua,yule ni mchezajiwa ligi daraja la pili siyo yanga
 
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.

Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.

Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.

Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.

Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
Mbona unajishuku?
 
Back
Top Bottom