1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nakubali hilo mkuu, ila sisi tukomae aiseeeh,,, naamini taifa wale UD hawatoki,,Soka hatukucheza vizuri: ila kwa Africa bado timu nyingi zina suffer sana kupata matokeo away. Hili jambo lipo hata kwa team kubwa kama aly ahaly, Esperance, mazembe nk.
Kikubwa nilichokiona Jana yatupasa tuboreshe safu yetu ya nyuma haswa haswa, kwani tukikutana na timu za level ya al ahaly twaweza kula 5 tena.
Hao wenzetu wana safari ngumu sana aisee hata wakipenya apo wanakutana na zesco. Ila kimehesabu ni ngumu sana kupenya,
Labda wakapewe penati tena kule, mechi mbili penati 3. Strikers hawana uwezo wa kudumbukiza mpira nyavuni. Wanaruruka kama forward yangu ya zamani ya arsenal oliver giroud
Ila sasa ivi ajibu atacheza kweli? Mbona mbona kama vile nahisi kocha hamuhitaji pale kikosini? Mana kikosi cha simba kinahitaji kujituma kweli?