Anayejua mpira ataelewa hili

Anayejua mpira ataelewa hili

Soka hatukucheza vizuri: ila kwa Africa bado timu nyingi zina suffer sana kupata matokeo away. Hili jambo lipo hata kwa team kubwa kama aly ahaly, Esperance, mazembe nk.

Kikubwa nilichokiona Jana yatupasa tuboreshe safu yetu ya nyuma haswa haswa, kwani tukikutana na timu za level ya al ahaly twaweza kula 5 tena.

Hao wenzetu wana safari ngumu sana aisee hata wakipenya apo wanakutana na zesco. Ila kimehesabu ni ngumu sana kupenya,

Labda wakapewe penati tena kule, mechi mbili penati 3. Strikers hawana uwezo wa kudumbukiza mpira nyavuni. Wanaruruka kama forward yangu ya zamani ya arsenal oliver giroud
Nakubali hilo mkuu, ila sisi tukomae aiseeeh,,, naamini taifa wale UD hawatoki,,

Ila sasa ivi ajibu atacheza kweli? Mbona mbona kama vile nahisi kocha hamuhitaji pale kikosini? Mana kikosi cha simba kinahitaji kujituma kweli?
 
Kumbe Rage akukosea nyie ni mbumbumbu kuanzia kocha, benchi zima la ufundi mpaka mashabiki yani mnashabikia ujinga.
Atakae vuka hii steg ndo tutaju shabuki gan anashabikia ujinga japo mpaka sasa ashajulikana anae baki ninani
Screenshot_2019-06-13-16-23-10.png
 
Kumbe wewe ni mbuzi kasolo majani tu kwahyo uyo Zesco na Kmkm walikuwa wanacheza ugenini? Emu vuta subira tukutane baada ya wiki mbili.
KMKM unajua uwezo wao labda uweke uchura wako kichwani,na matokeo ya ushindi ukiweka katika asilimia Timu zkiwa ugenini utajua ila ukijaza matope kichwani hutoelewa
 
Yanga wakitolewa wataanza kuilaumu TFF kwa kuchelewesha ligi.

Watasingizia muunganiko wa wachezi haupo. Sasa unajiuliza huko morogoro walienda kula matikiti tu bila kufanya mazoezi?

Kule zanzibar walienda kutafuta uchawi tu.
 
Nakubali hilo mkuu, ila sisi tukomae aiseeeh,,, naamini taifa wale UD hawatoki,,

Ila sasa ivi ajibu atacheza kweli? Mbona mbona kama vile nahisi kocha hamuhitaji pale kikosini? Mana kikosi cha simba kinahitaji kujituma kweli?
Ajibu ni majeruhi, juzi alikuwa muhimbili aki pata matibabu.

Kwa midfield's tulizo Nazi anakazi ya ziada ya kufanya kama mbrazil fraga anaanzia nje yeye sijui.

Sema kwa matumizi ya mechi za ndani anaweza akatumika sana sababu ya uzoefu wa ligi maana kina shiboub kuzoea Viwanja vyetu vile vya namfua nahitaji mda.

Mpaka Leo kama ume notice kagere huwa anasumbuka sana Ku score mechi za mikoani sababu ya ubovu wa viwanja, ukilinganisha na akiwa pitch ya dar es saalam
 
Nakubali hilo mkuu, ila sisi tukomae aiseeeh,,, naamini taifa wale UD hawatoki,,

Ila sasa ivi ajibu atacheza kweli? Mbona mbona kama vile nahisi kocha hamuhitaji pale kikosini? Mana kikosi cha simba kinahitaji kujituma kweli?
Kinachoonekana mwalimu hakumuhitaji Ajib. Ulikuwa ni utashi wa kina Manara and Co.

Yote kwa yote Simba wameimarika kiasi fulani ugenini. Ile papara ya msimu uliopita kidogo imepungua.

Shida bado naiona kwa Bocco na Mkude. Mkude anashindwa kutimiza majukumu yake ya msingi uwanjani.

Naamini mwalimu ameyaona na atayafanyia kazi.

UD Songo hawezi kuchomoka kwa ‘Mchina’ zinahitajika nguvu za giza ili anusurike na kichapo.
 
Ila nyie bwa mna majivuno sana hivi hii simba sibora ya ile ya mwaka jana yani kucheza tetema kwenye viwanja vya watu ndo Kuimalika.
 
hILI NDO BENCH LA UFUNDI LINALOKAA NYUMA YA KEY BOARD NA KUJARIBU KUCHORA MCHEZO KWENYE SCREEN KWA MARK PEN!
Tugange yajayo.
 
Ila nyie bwa mna majivuno sana hivi hii simba sibora ya ile ya mwaka jana yani kucheza tetema kwenye viwanja vya watu ndo Kuimalika.
Yani unahangaika kweli kulinganisha Simba kwa matokeo ya Jana waliopata ugenini,waliokua vizuri kichwani watakupuuza naona hata Baridiiiiiii Fc wenzako wanaojua mpira wanakupuuza
 
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.
Rollers walicheza na timu mbovu ndo mana walitawala mpira japo wapo ugenini
 
Hakuna timu isiyotaka ushindi
Kweli .. ila ukiweza kuimudu vyema game kuliko wapinzani wako.
Ukiona itakuwa ngumu kupata ushindi unabalance usiloose kwa goli nyingi au upate droo tu.
 
sio hayuko fiti,akili hana,krosi gani zile!?..ile nafasi ya kumuwekea mtu afunge ye kabutua,yule ni mchezajiwa ligi daraja la pili siyo yanga
Kama ana uwezo wa daraja la pili basi mlaumu aliyemsajili.
Hizi game ni kubwa na yeye ni mgeni kwenye timu usitake acheze kama Yondani kwa game 1
MPE MUDA
 
Ila nyie bwa mna majivuno sana hivi hii simba sibora ya ile ya mwaka jana yani kucheza tetema kwenye viwanja vya watu ndo Kuimalika.
Wewe umepata nini hapa dar?... Kocha analialia tu hakuna muunganiko.
 
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.
Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away
 
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.
Hiyo picha ya Arrows ni kali balaa, Yanga tuna timu nzuri sana
 
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.

Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.

Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.

Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.

Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
Baada ya first leg militoa maoni yangu ila nikala za USO,surprise mmeiona
 
Back
Top Bottom