Anayejua namna ya kuomba scholarship anisaidie

Anayejua namna ya kuomba scholarship anisaidie

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB

Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
 
Mimi nadhani Wizara ya Elimu Sayansi na Technology ndo wanaanda orodha ya wanafunzi wanaokidhi vigezo vya kuomba Samia scholarship! Mojawapo ni kupata div. 1 lakini uwe umepata admission kwa masomo ya sayansi
 
Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB

Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
Screenshot_20240720_102602_Google.jpg
 
Back
Top Bottom