🫶🏽✌🏽Sawa mrembo
Si unaona wanakuruka!Njia rahisi,haraka na secure na huwezi julikana ni hio kwenye screenshot around the world zingine zote ni centralized
View attachment 3363689
Sawa mami, wewe nakuamini 🫶🏽Nitumie mimi nimpelekee
Hii pia ni MONERO?Njia rahisi,haraka na secure na huwezi julikana ni hio kwenye screenshot around the world zingine zote ni centralized
View attachment 3363689
Wengi wamereply Crypto si peke yake na nimewajibu.Si unaona wanakuruka!
Wako kwenye mitongozo wala hawana time
Wakati sisi huko dark web tunamalizana na miamala ya crypto
Ukitaka kutuma pesa Kona yoyote ile kwenye dunia hii na usitambulike Wala kukaguliwa miamala hata yenye pesa ndefu I mean millions of dollars, Njia rahisi na ambayo Haina fee ni cryptoHii pia ni MONERO?
Mtu anatoaje pesa nikimtumia TZ.
Naomba uongeze maelezo tafadhali.
Unaweza kuwa unanitumia mimi nikakusaidia kutuma kwa uaminifu kabisa. Unanipatie tu namba za unaotaka kuwatumia na muamala wako ukafika. Naguswa na watu wanaopenda kusaidia watu wenye uhitaji....Siwezi kufika kwa wakala kwa muda huu
Ukibahatika kujua tusaidie kufahamu pia.Kabla ya yote NRNE ✌🏽👊🏽
Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
Ukiachana na sababu yangu binafsi:
- Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo.
- Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende mwenyewe physically.
Anayejua namna au mwenye uzoefu tushirikishe tafadhali.
- Kuna kampeni za kisiasa, wengine wanatamani kuchangia ila wanaogopa kuwa traced na ikaathiri biashara au kazi zao.
- Kuna watu humu huwa wanashare shida mbalimbali, sometimes tunaogopa kuwasaidia kuepuka kureveal identity zetu.
Natanguliza shukrani!
View attachment 3363466
PS:
NRNE, nchi yetu wote, ukatili haukubaliki.