secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kabla ya yote NRNE ✌🏽👊🏽
Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
Ukiachana na sababu yangu binafsi, kuna watu humu huwa wanashare shida mbalimbali, sometimes tunaogopa kuwasaidia kuepuka kureveal identity zetu. Anayejua namna au mwenye uzoefu tushirikishe tafadhali.
- Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo.
- Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende mwenyewe physically.
Natanguliza shukrani!
View attachment 3363466
PS:
NRNE, nchi yetu wote, ukatili haukubaliki.
Binti Sayunii wala usihangaike kunitumia hiyo hela kwa Siri maana nikishaona hela yoyote imeingia kwenye Simu yangu nitajua wazi kuwa zinatoka kwako.
Nipe kwa cash ili kuepuka makato yasiyo ya lazima.
I think that's the best you can do 😎.