Anayejua namna ya kutuma hela kwa usiri naomba anifahamishe

Fanya kati ya haya
1. Kama una Bank account namba yake kamuwekee bila kuandika depositor name
2. Nenda kwa wakala, mpe pesa na namba ya simu aweke kisha akuoneshe muamala kuwa umefanikiwa.

Hivyo tu.
Zote hizi inabidi kwenda benki au kwa wakala physically, kwa sasa siwezi.
 
Kabla ya yote NRNE ✌🏽👊🏽

Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
  1. Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo.
  2. Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende mwenyewe physically.
Mbali na sababu yangu binafsi, kuna watu humu huwa wanashare shida mbalimbali, sometimes tunaogopa kuwasaidia kuepuka kureveal identity zetu. Anayejua namna au mwenye uzoefu tushirikishe tafadhali.

Natanguliza shukrani!

View attachment 3363466

PS:
NRNE, nchi yetu wote, ukatili haukubaliki.
Kwani wewe nini unatuku multiple guys on the same day, au mimi leo sipati
 
Au unataka kumtumia yule jamaa wa Igunga mwenye suti nyeusi aliyemgonga ngumi chawa aliyeenda kuvruga mkutano wa CHADEMA, jamaa alibaki anaruka ruka kwanza kama yupo ulingoni 😀😀
 
Kwani wewe nini unatuku multiple guys on the same day, au mimi leo sipati
Ofcourse utapata, nafasi yako hakuna wa kuiziba, umenishika pabaya Schatz 😂 😂 😂 😂 😂
Nilikua nakutafuta, yani umebadili ID bila kuniambia, sijapenda 😤
 
Back
Top Bottom