Anayejua namna ya kutuma hela kwa usiri naomba anifahamishe

Si unaona wanakuruka!
Wako kwenye mitongozo wala hawana time
Wakati sisi huko dark web tunamalizana na miamala ya crypto
Wengi wamereply Crypto si peke yake na nimewajibu.

Sikuiona hii reply, anyway, nimemuomba maelezo zaidi.
 
Hii pia ni MONERO?
Mtu anatoaje pesa nikimtumia TZ.

Naomba uongeze maelezo tafadhali.
Ukitaka kutuma pesa Kona yoyote ile kwenye dunia hii na usitambulike Wala kukaguliwa miamala hata yenye pesa ndefu I mean millions of dollars, Njia rahisi na ambayo Haina fee ni crypto

Ukishatuma Pesa mpokeaji atapokea ndani ya Dak 30 kutegemea network chain uliyotumia

Namna ya kutoa kwa bongo ni rahisi mno na njia maarufu ni P2P (peer to peer) ambapo trade inawekwa escrow account mpaka uone pesa kwenye account yako ya mpesa,bank ndo utaruhusu mfumo kumtumia mnunuzi.

Tahadhari: inahitaji elimu kiasi Ili kujua jinsi ya kudeposit na kutuma na namna ya kutofautisha Blockchain network Ili usichanganye wakati wa kutuma

The whole process mpaka mtu pesa anaipata kwa mpesa au bank au cash ni less than 45minutes

Pia ni vizuri kuanza na miamala midogo kwanza kama 1$ ,10$,100$ kabla ya kutuma miamala mikubwa Hadi utakapouzoea mfumo Ili kuepuka kupoteza pesa kunakotokana na kutokuujua mfumo vizuri


Unaweza kuuliza zaidi kama hujaelewa
 
Siwezi kufika kwa wakala kwa muda huu
Unaweza kuwa unanitumia mimi nikakusaidia kutuma kwa uaminifu kabisa. Unanipatie tu namba za unaotaka kuwatumia na muamala wako ukafika. Naguswa na watu wanaopenda kusaidia watu wenye uhitaji....
 
Ukibahatika kujua tusaidie kufahamu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…