njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Air port ,air strip.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo sema vidogo vidogo vinavifaa ndege Binafsi....Morogoro ni anga la kijeshi hivo kuwa na kiwanja ni ngumu...........Leo ndio nimegundua sijawahi sikia Morogoro kuna uwanja wa ndege.
😳Kikoboga Airstrip
Practice makes perfect mkuu, acha bwanamdogo aendelee kujaribu vitu mbalimbali hapa jf.Umeona ilivyo rahisi kuanzisha Uzi jf!?
Ndio nami nampa moyo Wala asiache ku "express his/herself"jf is for everybodyPractice makes perfect mkuu, acha bwanamdogo aendelee kujaribu vitu mbalimbali hapa jf.
35,000 tuJamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro
Hili ndio jibu la swali husika.Air Tanzania hazifiki huko hata Precision Air hazifiki huko
Auric air ndio zina fika na ni bei sana zipo za $47 ila flightslink ni laki 6 na elfu 50 hivi zinafika pale mikumi tu
Morogoro hazipiti wala kutua ndege za abiriaJamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro
ukiwa hauna akili usichangieHili ndio jibu la swali husika.
Wabongo wengi ni pepeta sana linapokuja suala la mahojiano na mijadala.
unashangaa nini
Ninashangaa Sarungi na wanaum.. watatu huko Nairobiunashangaa nini
kafanyajeNinashangaa Sarungi na wanaum.. watatu huko Nairobi
Laki 2 na nusuJamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro
Jamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro
Hili jina limekataa kabisa kukaa kwenye ubongo wangu. Tangu Tigo wabadilishe hili jina hata mzuka wa kutumia huduma zao za kifedha umepotea kabisa.Piga mixx by Yas watakuambia bei.