kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Hakuna direct flight, ila unaweza kupanda ndege zinazokwenda Iringa au Songea au Ruaha, hii unaomba na gharama yake haina tofauti na ile unayoenda Iringa, inaweza kuwa USD 250 one way tu....Jamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro