Anayejua nauliza za Ndege Dar hadi Morogoro

Uwanja wa ndege upo kati ya njia kihonda na Mazimbu, Morogoro Airport zinatua ndege ndogo
 
Air Tanzania hazifiki huko hata Precision Air hazifiki huko

Auric air ndio zina fika na ni bei sana zipo za $47 ila flightslink ni laki 6 na elfu 50 hivi zinafika pale mikumi tu
Hili ndio jibu la swali husika.
Wabongo wengi ni pepeta sana linapokuja suala la mahojiano na mijadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…