kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 12, 2025 #41 icon_2000 said: Jamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro Click to expand... Hakuna direct flight, ila unaweza kupanda ndege zinazokwenda Iringa au Songea au Ruaha, hii unaomba na gharama yake haina tofauti na ile unayoenda Iringa, inaweza kuwa USD 250 one way tu....
icon_2000 said: Jamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro Click to expand... Hakuna direct flight, ila unaweza kupanda ndege zinazokwenda Iringa au Songea au Ruaha, hii unaomba na gharama yake haina tofauti na ile unayoenda Iringa, inaweza kuwa USD 250 one way tu....
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jan 26, 2025 #42 Aisee
P PHD Holder Member Joined Sep 12, 2024 Posts 96 Reaction score 141 Jan 26, 2025 #43 Ni bure tu nenda kaombe lift zile fighter Jet
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Apr 24, 2025 #44 Offshore Seamen said: Uwanja wa ndege upo kati ya njia kihonda na Mazimbu, Morogoro Airport zinatua ndege ndogo Click to expand... Sahihi kabisa. Watu wanashindwa kutofautisha kutokuwepo kwa regular flights na kutokuwepo kwa uwanja. Uwanja upo na kama wewe ni kibopa una ndege yako binafsi ukitoa taarifa kwa mamlaka husika utaruhusiwa kutua.
Offshore Seamen said: Uwanja wa ndege upo kati ya njia kihonda na Mazimbu, Morogoro Airport zinatua ndege ndogo Click to expand... Sahihi kabisa. Watu wanashindwa kutofautisha kutokuwepo kwa regular flights na kutokuwepo kwa uwanja. Uwanja upo na kama wewe ni kibopa una ndege yako binafsi ukitoa taarifa kwa mamlaka husika utaruhusiwa kutua.