Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue sio uzungu wala uarabu na uhindi,issue ni maslahi,kwani Gadaf na Alafat walipomuunga mkono Iddi Amini katika vita dhidi ya Tz je nae alikuwa mzungu?Nini maana ya ujinga ni kuamini Kila kitu unacho ambiwa na mzungu Bila wewe kufanya utafiti katika nchi yako, lini tuta kuwa tuna jiamulia maamuzi sisi wenyewe kama taifa lililo jikomboa katika ukoloni mambo Leo. Mzungu akifanya research akisema Tanzania wote mashoga watu watachukulia poa Na kuamini ni kweli Ila waafrika akisema Tanzania ni inchi inayo endelea watu wata m crash siku Zote kisa mweusi
Is the problem color au many of African wana westernized mind
Leo hii Gaddafi ameuliwa ndani ya mikono ya wazungu na kisa tu alikuwa ana hifathi kubwa ya mafuta ,dhahabu na mandeleo, Hugo chaveZ yuko wapi, Patrick Lumumba yuko wapi??, Alafat ??
Usifikili wazungu wanapenda Tanzania iendelee na iwe taifa kubwa kichumi
Sikuzote usifikili mtu anae Fanya mandeleo katika nchi yake ana pendwa na watu wa maghalibi
Nilitegemea wana jamii forum mtakuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo Lakini sivyo umefika mda watu wanaomba ata ndege zilipuke au nchi ishuke kiuchumi
We need to help the country isonge mbele Ila mkika kusikiliza wazungu hakika Tanzania itakuwa kama central Africa in the coming days
Ni kweli mama anafaa, lakini nyie ukawa bila ukali mambo hayaendi,hapa ni magu.na gambo kiboko chenu.Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu?
Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye kuwa amrijeshi mkuu,mama ana sifa zinazofaa,mnyenyekevu,asiyeropoka,asiyechukia wapinzani wake wa kisia
Hayo ni maoni yangu,mm sijawai hata kufikiria kupigia kura ccm,lkn nimeangalia utendaji wa mama,nikagundua,ni makali zaidi kuliko mkuu ana sifa zote,za kiongozi,amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile
Mkuu wengine bado sisi ni wazito ungeweka wazi mama yupi sasa!!au unasema yule mama gwira au!![emoji86] [emoji86]Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu?
Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye kuwa amrijeshi mkuu,mama ana sifa zinazofaa,mnyenyekevu,asiyeropoka,asiyechukia wapinzani wake wa kisia
Hayo ni maoni yangu,mm sijawai hata kufikiria kupigia kura ccm,lkn nimeangalia utendaji wa mama,nikagundua,ni makali zaidi kuliko mkuu ana sifa zote,za kiongozi,amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile
Ulimsubiri wewe na nani...??tulimsubilia sana rais wa aina hii...Magufuli songa mbele.
Nilisimamia uchaguz , na nilipiga kura ila never kumpa huyo mtu
Mnataka kusema kwamba yule aliyekuwa anahutubia kwa dakika tano tu angeweza kufanya yote yanayofanyika hivi sasa?.
Ama kweli, mnaota, tena ndoto za mchana kweupe.
Mafisadi wangejigongea nchi kama hawana akil nzuri... maana hawa bila kupata mtu mkali kama uyu aise watu wangeuzwa wangali nchin mwao.Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu?
Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye kuwa amrijeshi mkuu,mama ana sifa zinazofaa,mnyenyekevu,asiyeropoka,asiyechukia wapinzani wake wa kisia
Hayo ni maoni yangu,mm sijawai hata kufikiria kupigia kura ccm,lkn nimeangalia utendaji wa mama,nikagundua,ni makali zaidi kuliko mkuu ana sifa zote,za kiongozi,amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile
Mimi nilimpigia kuna tatizo kwani, ni rais mheshimu