Nyaru
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 289
- 232
na mimiUlimsubiri wewe na nani...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimiUlimsubiri wewe na nani...??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] langu halisomi kabisaaSubiri nicheki salio bank....likizidi milioni saba nakuja kukomenti.
Anatia hasiraaMi sijaona nani mwanaume pale!!
Hivi mwanaume unajihakiki kila siku kama uume upo?
Nadhani utafiti na UHAKIKI wa kiwango cha uchizi ufanyike upya na uanzie ....!
Uongozi si ukali bali hekima, busara na ushirikiano ukiona kiongozi yoyote ana hulka ya kauli za kubomoa na kejeri hatufai hata kama afanye kitu gani kizuri maana hajengi nchi bali anaweka mpasuo katika jamiiNi kweli mama anafaa, lakini nyie ukawa bila ukali mambo hayaendi,hapa ni magu.na gambo kiboko chenu.
Pesa ni kila kitu, ukiwemo uhuru wa kujieleza....bado kido nitakuja kutoa maoni yangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] langu halisomi kabisaa
Mama sio mshamba wa madaraka.Tembo nguvuu nyiingiiii akili kiduchuuuuuPesa ni kila kitu, ukiwemo uhuru wa kujieleza....bado kido nitakuja kutoa maoni yangu.
**.........amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile**Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu?
Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye kuwa amrijeshi mkuu,mama ana sifa zinazofaa,mnyenyekevu,asiyeropoka,asiyechukia wapinzani wake wa kisia
Hayo ni maoni yangu,mm sijawai hata kufikiria kupigia kura ccm,lkn nimeangalia utendaji wa mama,nikagundua,ni makali zaidi kuliko mkuu ana sifa zote,za kiongozi,amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile
Kwani ulijua push up ni za kutengeneza front pages za magazeti?Mama sio mshamba wa madaraka.Tembo nguvuu nyiingiiii akili kiduchuuuuu
Sio minne mkuu,ni tisa badoKila mtu tutaona anafaa kuwa raisi. Bado miaka minne mbele.
Karibu mkuuSubiri nicheki salio bank....likizidi milioni saba nakuja kukomenti.
Wapinzani kwa taarifa yenu ni chachu ya maendeleoMpinzani gani kachukiwa kwa mfano kama ni mbowe kulipa deni la NHC zile ni pesa za watanzania kwa ajili ya kuendeleza watanzania,
Tanzania ni BORA KULIKO VISACOS VYETU UCHWARA,
kinyume hiki au una maana utauliza watukama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.