Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwishowe ufeYah, coz hakuna namna
Asante mkuuu kwa mawazo yako muruaFanya yako yakuonekana leo leo.
Nimemtaja yule aliyekuwa anahutubia watu huku network ikionekana kuwa imekata. Asingekuwa na ujasiri huu wa rais wa sasa. Alizungukwa na wanyama wa hatari sana, wangeiraruararua Tanzania mpaka ikawa vipande vipande.Yapi hayo ambayo yamefanywa na unahisi hayakuwahi kufanywa na wengine hasa waliomtangulia?
Duuuh hiyo picha yako vipi?Lumumba guys be like
View attachment 421340
Ni aibu mkuu jamaa hata kutia mguu kagoma kabisa lakini soon utaona akienda chato.....sijui ni lini misaada ya Bukoba itawafikia walengwa.
Kwanini wasijiuzulu kama awasikilizwi?Usiwasingizie washauri, huyu anafanya kutokana na maamuzi yake mwenyewe
Kajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!Nashauri...
Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .
Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia gori au gori la mkono?
Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.
Kwa kufanikisha yafuatayo...
1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .
2: Kuzima bunge live
3: Kuzuia mikutano mpaka 2020
4: kuamia Dodoma
5: kusitisha Ajira
6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kuwa ni walevi na wananunua Tv.
Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..
Nashauri apewe tuzo ni Genius.