Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
viongoz wetu wanahubir na kuongea wacyo yaamin na kuyaweza, kichwan kwao hawaamin kabsa kuwa nch yetu itapata maendeleo, hawasadik kwa kaul na matendo. kuwaamin n kama kujitia ktanz TUENDELEE KUPAMBANA, KUTENGENEZA FURSA IL MAISHA YE2 YAENDEL3
 
Yapi hayo ambayo yamefanywa na unahisi hayakuwahi kufanywa na wengine hasa waliomtangulia?
Nimemtaja yule aliyekuwa anahutubia watu huku network ikionekana kuwa imekata. Asingekuwa na ujasiri huu wa rais wa sasa. Alizungukwa na wanyama wa hatari sana, wangeiraruararua Tanzania mpaka ikawa vipande vipande.
 
a91ef58c96a81840e63dd414949d7f84.jpg
 
Nashauri...

Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .

Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia goli au goli la mkono?

Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.

Kwa kufanikisha yafuatayo...

1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .

2: Kuzima bunge live

3: Kuzuia mikutano mpaka 2020

4: kuamia Dodoma

5: kusitisha Ajira

6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kigezo kuwa ni walevi na wananunua Tv.

Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..

Nashauri apewe tuzo ni Genius.
 
Sikatai, ila kabla hajapewa hiyo tuzo si ingekuwa vema tukimfahamu tu japo kwa picha ya gazetini.
 
Nashauri...

Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .

Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia gori au gori la mkono?

Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.

Kwa kufanikisha yafuatayo...

1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .

2: Kuzima bunge live

3: Kuzuia mikutano mpaka 2020

4: kuamia Dodoma

5: kusitisha Ajira

6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kuwa ni walevi na wananunua Tv.

Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..

Nashauri apewe tuzo ni Genius.
Kajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom