Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kila mtu tutaona anafaa kuwa raisi. Bado miaka minne mbele.
 
I
Issue sio uzungu wala uarabu na uhindi,issue ni maslahi,kwani Gadaf na Alafat walipomuunga mkono Iddi Amini katika vita dhidi ya Tz je nae alikuwa mzungu?
 
Ni kweli mama anafaa, lakini nyie ukawa bila ukali mambo hayaendi,hapa ni magu.na gambo kiboko chenu.
 
Mkuu wengine bado sisi ni wazito ungeweka wazi mama yupi sasa!!au unasema yule mama gwira au!![emoji86] [emoji86]
 
Mwafrica ndo binadamu pekee ambaye hataki kuishi kwa kufata utaratibu na ni porini pekee ambapo nyani na sokwe wanaishi bila utaratibu na cku wakijua kumbe wanafugwa nadhani watalalamika watu mmezoea kuishi kiujanja ujanja kuto kulipa kodi kubembelezwa no ifike sehemu ajulikane nani mwanaume nani mwanamke
 
Mnataka kusema kwamba yule aliyekuwa anahutubia kwa dakika tano tu angeweza kufanya yote yanayofanyika hivi sasa?.

Ama kweli, mnaota, tena ndoto za mchana kweupe.

Yapi hayo ambayo yamefanywa na unahisi hayakuwahi kufanywa na wengine hasa waliomtangulia?
 
Nawaza kwa sauti kuhusu kauli hii.
"Ninafahamu, Mniombee, Sitawaangusha"

Hivi ni kweli anafahamu?
Sukari kelele, Dawa Kelele, Mikopo elimu ya juu kelele, Stahiki za watumishi kelele, Uhuru wa habari kelele, Uhuru wa kufanya siasa kelele.

Wanasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Au wengi wanao muombea, hawamuombei mema ndio maana kila kukicha malalamiko hayaishi?

Sintowaangusha.
Watumishi vp hapo.
Wagonjwa hospitalini je.
Mwananchi wa kawaida hapo vp, bado unaweka vijiko vitatu vya sukari kwenye chai?
Mwanachuo uliekosa mkopo je?

Labda kweli hutatuangusha kwasababu huna mpango wa kutubeba, na huwezi angusha kitu ambacho hujabeba.
 
Mafisadi wangejigongea nchi kama hawana akil nzuri... maana hawa bila kupata mtu mkali kama uyu aise watu wangeuzwa wangali nchin mwao.
 
Uislam unafundia adabu,ustaarabu utu na huruma waliopita ni jibu la haya tunayoyaona,sijawahi ona rais anachukia wananchi wake aisee,tumemkosea nini huyu mzee
 
Hahahaha!! Ngoja nisemepo na mimi ukweli wangu........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…