technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wakati huo ndio tunaanza kunyoosha nchi.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mropokaji yule atazani anaongoza wanyama.Mkuu kwani na wewe ulikuwa mpiga dili? Maana kwa mujibu wa mzee ni kwamba wanaolalamika wote walikuwa wapiga dili
Hakuna siku maisha yamewahi kua rahisi toka dunia imeumbwa,ugumu wa maisha na kubanwa kwa wapiga dili ni viwili tofauti,hujuma ya wenye pesa juu kubana pesa mtaani eti kisa rais aonekane ameshindwa zitakwishilia mbali na tutasonga mbele,naiamini mamlaka kwa sababu kama MUNGU hakuikubali isingekuwepo,wale waliosema maneno mengi mazuri ni mapritenda ambao wangekuja kuimaliza inchi,mtetezi wa wanyonge ndo anazidi kusonga mbele,na wapiga dili wanalaumu kila uchaoNimelalamika kwa maneno ugumu wa maisha hadi nimeishiwa maneno,sasa natangaza kuunga mkono maandamano yoyoye Yale as long as theme itakuwa ugumu wa maisha,nimetengua kauri yangu ya zamani kuwa siwezi kushiriki maandamo,coz sioni mwisho ya kizisoma number,Mara ya mwisho n
Tulisoma number ngapi vile ( malizia basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawana hamu, wanajikaza tu ki sabuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulipenda wenyewe.....ndi ndi!
Chaguo letu wenyewe...ndi! Ndi!
Wavimbe wapasuke...ndi! Ndi!
Wataisoma nambaaaaa....ccm mbele kwa mbeleeeee! Mmeipenda wenyeweeeeeeeeeee......chaguo lenu wenyeweeee,
Acha muisomeee nambaaaaaaa......... Ccm mbele kwa mbeleeeeeeeee WAPI HAMJAISOMA? INAKUJA SOON!
Mfalme amekaa kitini upepo unampiga toka bahari ya sham kwani ofisi yake ndipo ilipo ,anajiona fahari kila akitazama ukutani mwa jumba la ufalme anaona picha zake kubwa nakuandikwa mfalme wa Alexandria basi anajiona fahari nakujihisi Mungu mtu ,Mara ananyanyuka na kuita washauri wake we mshauri wa elimu Fanya hiki futa kile nawewe wa ardhi mfanyie hiki yule na wewe wa sheria umewafuta wangapi kazi ahahaha ongeza wengine.
Mara mshauri wa elimu kwakupenda sifa; mtukufu mfalme JoJo tufute wale
Mfalme;oooh sawa Fanya hivyo na ukipata idea zaidi kama hiyo SKU nyingine we lete tufukuze tuu.
Basi wanacheeeeka utadhani hawajui hali halisi juu ya vilio vya watu wao ...kwa mbali sauti inanambia hakuna mbabe duniani hata Gaddaf ali..... be good to the people