wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Ikulu si chooni useme kila mtu Anaenda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaaa! Kwani wewe hi ACT?Waambie chadema mimi naongelea taifa sio chama hata ungekuwa ni vizuri unamuuliza mbowe hayo mambo Mimi nataka kujua kwanini alifuta semina elekezi wakati anajua hawezi endesha nchi?
Mamvi alijiunga Chadema na saa hiyo hiyo akatangazwa mgombea urais. Hayo yalikuwa makosa makubwa kuliko.
Povuu.Wapi uliwahi kuona huyu mleta mada akisifia uwepo wa EL hapo cdm? Jibu hoja kwani ni aibu kujitetea kwa kutaja udhaifu wa chama kingine kama ndio ubora wako.
Mimi sio mwanachama wa chama chochoteHahahahahaaaaaa! Kwani wewe hi ACT?
Hakuna hasara kubwa duniani kama kupoteza muda.Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
Katiba tuliyonayo ndiyo tunayoifuataHivi ni nani anayeongelea kuhusu katiba? Huwa mnatambua uwepo wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Mbona hamuizingatii?
HahahahahaaaaaaaSio kweli ya kweli hayo
Kwani Tanzania katiba bado ipo? nilijua ule muhimili uliochimbiwa chini zaidi ndo unafanya kazi kwa sasa.Mkuu, katiba ya Marekani si sawa na ya Tanzania. Usilazimishe mambo Mkuu.
Si ndio hapo tunawauliza wanajifanya katiba katiba ccm bwana .....Kwani Tanzania katiba bado ipo? nilijua ule muhimili uliochimbiwa chini zaidi ndo unafanya kazi kwa sasa.
Kwani anaongelewa mwenyekiti wa chama?Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
Mbona kaka Pascal hakujibiwa maswali yake?Katiba tuliyonayo ndiyo tunayoifuata
La kuapishwa januari linahitaji mabadiliko ya katiba.Sio kosa kwa rais kukiri makosa lakini ninavyomjua Rais wetu hawezi kutoka na kukiri hatharani kwamba alifanya,anafanya na ataendelea kufanya makosa ambayo yatakuwa yakiigarimu nchi moja kwa moja.
Rais alifanya wapi makosa?
Wote tunashuhudia kunachoendelea Marekani uchaguzi wao ulifanyika tarehe 8 mwazi huu lakini Trump ajaapishwa mpaka January 20.
Anachokifanya anatengeneza cabinet yake kwa utaratibu kabisa huku akijifunza mambo mbali mbali kwa kupata semina elekezi kwake yeye na watu anaowateua huku akionekana kuwa karibu zaidi na watu Wa saikolojia na watu wa usalama.
Kosa la kwanza alilolifanya Magufuli ni baada ya kuchaguliwa hapo hapo ,Kuapishwa hapo hapo,na kwenda Ikulu hapo hapo.
Kibaya zaidi alipoingia Ikulu na kuzuia semina elekezi kwa wasaidizi wake ilo ndio kosa kubwa alilolifanya.
Semina elekezi ni muhimu sana kwa Rais mwenyewe na wasaidizi wake hasa mawaziri,kukurupuka na maamuzi ya mwendokasi ni kwa sababu Rais na wasaidizi wake hawana semina elekezi mpaka sasa.
Kiufupi Rais Magufuli alitakiwa kuapishwa January 2016.
Unaidanganya mpaka nafsi yako....mtachanganyikiwa sana hii miaka kumiChadema ni chama Mimi sina chama naangalia nchi sasa kwanini usijibu hoja zangu bila kuingiza uchama?
Ahahahaha akili zao zinawahi kusahau sana msamehe bure, huyu naye utakuta anajiona ana akili, bora tu wafute habari za foundation na shortcut za certificate zinatuharibaia vijanaPunguza papara utatukana bure. Angalia unavyojiumbua mchana kweupee.
Ha ha ha, kamanda vipi tena?