Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwani na wewe ulikuwa mpiga dili? Maana kwa mujibu wa mzee ni kwamba wanaolalamika wote walikuwa wapiga dili
 
Mkuu kwani na wewe ulikuwa mpiga dili? Maana kwa mujibu wa mzee ni kwamba wanaolalamika wote walikuwa wapiga dili
Mropokaji yule atazani anaongoza wanyama.
 
Hakuna siku maisha yamewahi kua rahisi toka dunia imeumbwa,ugumu wa maisha na kubanwa kwa wapiga dili ni viwili tofauti,hujuma ya wenye pesa juu kubana pesa mtaani eti kisa rais aonekane ameshindwa zitakwishilia mbali na tutasonga mbele,naiamini mamlaka kwa sababu kama MUNGU hakuikubali isingekuwepo,wale waliosema maneno mengi mazuri ni mapritenda ambao wangekuja kuimaliza inchi,mtetezi wa wanyonge ndo anazidi kusonga mbele,na wapiga dili wanalaumu kila uchao
 
tunaisoma sie wapiga dili maana maisha ya kiyumba unambiwa mpiga dili, kweli alieshiba hamkumbuki wa njaa
 
Binafsi aliyeipa ule wimbo kama yupo anafaa kusifiwa kwani alichoimba ndicho kinachojiri. Ubunifu wake umeakisi nchi hii kwa sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"On behalf of myself "
 
Kaka wacha watu wasome tarakimu toka Lumumba hadi Kisiwandui mpaka mikoani tutapata akili tu. Habari hii ya ukondoo lazima ifikie mahali iachwe
 
Sio kosa kwa rais kukiri makosa lakini ninavyomjua Rais wetu hawezi kutoka na kukiri hatharani kwamba alifanya,anafanya na ataendelea kufanya makosa ambayo yatakuwa yakiigarimu nchi moja kwa moja.

Rais alifanya wapi makosa?

Wote tunashuhudia kunachoendelea Marekani uchaguzi wao ulifanyika tarehe 8 mwazi huu lakini Trump ajaapishwa mpaka January 20.

Anachokifanya anatengeneza cabinet yake kwa utaratibu kabisa huku akijifunza mambo mbali mbali kwa kupata semina elekezi kwake yeye na watu anaowateua huku akionekana kuwa karibu zaidi na watu Wa saikolojia na watu wa usalama.

Kosa la kwanza alilolifanya Magufuli ni baada ya kuchaguliwa hapo hapo ,Kuapishwa hapo hapo,na kwenda Ikulu hapo hapo.

Kibaya zaidi alipoingia Ikulu na kuzuia semina elekezi kwa wasaidizi wake ilo ndio kosa kubwa alilolifanya.

Semina elekezi ni muhimu sana kwa Rais mwenyewe na wasaidizi wake hasa mawaziri,kukurupuka na maamuzi ya mwendokasi ni kwa sababu Rais na wasaidizi wake hawana semina elekezi mpaka sasa.

Kiufupi Rais Magufuli alitakiwa kuapishwa January 2016.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…