Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ukimwi nyie ....

Katelero nyie.......

Njaa nyie.....

Kuwekwa ndani kwa kumkashifu mnayemuombea nyie......

Kuwekwa VAT mpaka kwenye vocha nyie .......

Vilaza nyie......

Wapiga dili nyie.......

Walionyimwa mikopo nyie......

Walionyimwa Ajira nyie. ........

Haiwezekani kila kitu muambiwe nyie tu tu inabidi sasa na nyie mjiombee watanzania .

Mwaka mmoja mnayemwombea yeye anawaambia mbebe msalaba wenu......

[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Jiombeeni..
 
Ni utoto unakusumbua ukikua utaacha kuposti kitu kama hiki
 
Wewe ni mtu mzima wa miaka tu, vingine bureee kabisa maana huu uzi sio wa kuandikwa na wenye akili, alafu mtu mzima mwingine mwenye akili ana 'like' kabisa hii rubbisha, duh!
Babako ndo hawez kulike.we wawap wew mbona unakuw mbumbu kias hicho.mijitu mingne inalufanya utukane af uonekane huna adabu sasa nakupa.pumbaaaaavuuuuuuu.una akili ka za mende au panzi kunguru wew
 
tumewapa watu nchi yetu waiendeshe kwa practical kama wapo kwenye internship vile. hata hawajui tunachotakiwa kukifanya,...nchi ya viwanda kwenye makaratasi na matamshi tu ila in reality hakuna mazingira yaliyotengenezwa. kuna umuhimu marais waliopita waingilie kati kutoa ushauri. nadhani sisiemu wenyewe wamejifunza aina ya watu wanaotakiwa kuwateua kugombea miaka ijayo, kwasababu hata wao wanajilaumu na hawajui tunakoelekea.
 
Yule jamaa anajifanya anajuwa saaana.lakibi ukija tafakari kwa makini,sio mjuaji.Ubabe mwingi.Yule mtu hakustahili kuwa kingozi hana hicho kipaji.yule jamaa anakipaji cha kuwa baunsa wa milangoni Hata kuwa mwnajeshi hastahili kwani mwanajeshi wa sasa abatakiwa atumie akili nyingi nguvu kidogo.
 
Wewe ni mtu mzima wa miaka tu, vingine bureee kabisa maana huu uzi sio wa kuandikwa na wenye akili, alafu mtu mzima mwingine mwenye akili ana 'like' kabisa hii rubbisha, duh!
ww mwenyewe unatakiwa kubana matumizi ya mb zako...
 
Wewe ni mtu mzima wa miaka tu, vingine bureee kabisa maana huu uzi sio wa kuandikwa na wenye akili, alafu mtu mzima mwingine mwenye akili ana 'like' kabisa hii rubbisha, duh!
Alaf mtu mzima kama ww unachangia pumba kama hivi
 
nyammmbaffff...... unatetea umbwiga uzombi.... mburula wa LUMUMBA
Nimeshakwambia ni utoto tu unakusumbua hata ukiniita majina hayo cwezi kuwa hivyo na kwa taarifa yako mimi c mburula kama wewe. Bado naamini ukikua hutapost utumbo kama huu.
 
Not Only This City[Dar] But The Whole Country
[emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…