black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
sawaHakika
unamlinganisha na nani mkuu. hakuna kipindi nilishawahi kuchukia serikali tangu uhuru hadi leo hii kama kipindi hiki. mimi sio fisadi, sio mwizi, lakini kuna baadhi ya watu wakitokea kwenye luninga uwa nabadilisha channel fasta.Tangu tupate Uhuru nchi hii ndio Mara ya pili kuwa na Rais bora ukiacha Jk Nyerere.
Hoja zake nzuri, ana msimamo, hapendi watu wavunje amani ya nchi. Anateua makada wa chama chetu kile kuwa Ma DC,RCS, DEDS,RAS,DAS,N.k
Pia ni msomi kuliko wote toka Uhuru, ana PhD ya kusomea!!!
TATIZO
Mimi na ka elimu kangu ka ngumbalu, kana kitu sijakielewa kidogo, hii ni kutokana na Elimu kiduchu niliyo nayo, pia ni ya hapa na pale.
1. Rais alisema "Wilaya yoyote itakayokumbwa na njaa, mkuu wa wilaya hana kazi". Sasa Musoma,Bunda,Serengeti, Magu zimetangaza njaa je mbona Rais yuko Kimya?Mbona Anna Kilango alifyekwa fasta?
2.Rais alisema akiwa Bukoba kuwa waathirika wa tetemeko hawata jengewa nyumba na serikali, kwani tetemeko halikuletwa na serikali!!!
KWA HIYO NJAA IMELETWA NA WAKUU WA WILAYA? MAANA ALISEMA NJAA IKITOKEA ANAWATIMUA KAZI!!!
Ninge omba mwenye elimu ya PhD au hata darasa la nane anifafanulie, sikuambulia kitu hapo. Mimi uelewa wangu mdogo, tuvunuliane tu jamani, nipewe majawabu.
Tangu tupate Uhuru nchi hii ndio Mara ya pili kuwa na Rais bora ukiacha Jk Nyerere.

Yesu hakuwa scientist mkuu alikuwa Mwalimu,Philosopher,Kiongozi na Mtu wa dini kama kwenye list alivyoingia Luther.Anyway we mwenyewe huna hakika na mtazamo wako huwezi mfananisha magufuli na scientists kwasababu ni vitu tofauti kama unga na maji
Hakuna asiyejua hayo yote na zaidi ya hayo. Inapokuja kumjadili yesu kwenye siasa au jamii tunamtumia kama master teacher. Sio tu hakueleweka kwa watu wa kipindi kile hadi leo wayahudi hawajamuelewa na wanamsubiri aje. Lkn dunia inamuelewa leo kuliko kipindi chake maana hata raia waliona bora baraba aachiwe kuliko innocent master teacher. Pia miujiza ya Yesu iko beyond science ni kosa kisayansi kuihusisha na sayansi maana Mingi inaviolate sheria za kisayansi.Kama hakuwa mwanasayansi (Yesu) aliwezaje kugeuza maji kuwa mvinyo au pombe kwa kiswahili chepesi? Yesu ni Mungu aliyechukuwa umbile la ubinadamu akakaa nasi katika kutuueleka itipasavyo kuishi maisha yenye unyenyekevu na kutokujiona wewe ni bora zaidi ya yule au mie. Hivyo kumlinganisha na hao wengine akiwemo malaika wa nchi ya mashetani anayeongoza mashetani, ni sawa kuchanga mafuta ya taa na ya kupikia. Lazima kimoja wapo kitajitenga tu kwa kuwa hakina sifa za kuchangamana. Na kama unaisoma Bible kweli kweli, Yesu alieleweka na waliowengi sana isipokuwa wale wa MLENGO WA KUSHOTO (CONSEVERTIVES) ndo hawa kumwelewa hata hivyo naadaye walimwelewa ndo ndo maana hata wakina Nikodemas na the like walimwendea Yesu usiku ili kufundishwa habari za ufalme wa Mungu. Yesu, alikubali challenge na wala hakuwahi kuwasweka wapinzani wake ndani eti tu kwa kumkosoa wazi wazi na kumwita mkuu wa mapepo. Huyo mtu wako (Malaika) anaweza kumsweka mtu ndani tu tena bila sababu za msingi eti kwa kuwa tu kawasimulia watoto wake kuwa usiku ameota Malaika anakufa iwapo hataenenda kwa mujibu wa taratibu za nchi. Yesu pamoja na Umungu wake hakuwa kufanya hivyo hata kidogo. Hata hao wengine jaribu kuwafuatilia ipasavyo, waliwaacha mahasimu wao kwa maana ya wale wote ambao hawakukubaliana na hoja zao wale huru au waliwafikisha kwa pilato chini ya maelekezo? Nadhani mkuu dots zako zipange vema. Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo, anakosolewa hata leo tena kwa hoja kweli kweli, lakini ni mvilivu na anatoa fursa ya mkosoaji kujipima katika taratibu zake... vipi kwa malaika wa nchi ya mashetani? Ni mtazamo wangu pia mkuu. Nipo tayari kukosolewa kwa hoja.