Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
WanaJF,

Ni wazi kuwa kila mmoja wetu anasikia na kuona yanayoendelea kwenye nchi yetu TANZANIA. Hivyo basi kama wewe ni muamini wa Mungu, sema neno moja kama sala yako kwa Mungu kwa ajili ya nchi yetu.

Eeeh Mungu, bariki viongozi wote wa nchi hii na watanzania wote kwa ujumla, nchi iendelee kuwa na amani. Amen!!!
 
Uhakiki wa watumishi hewa utaisha ndani ya miezi miwili tu baada ya hapo watu watalipwa madai yao na ajira mpya zitatoka baada ya halo uhakiki mpaka sasa unaendelea serikali haitoi uhamisho wala kupandisha madaraja wala kulipa malimbikizo kwa watumishi wa umma wala ajira mpya hazitangazwi tena serikalini hujui kuwa miezi yako miwili ilishaisha toka mwezi wa 8/2016 wewe ni mchochezi .

Takayechaguliwa chuo kikuu atapata mkopo asimilia nyingi waliopewa mikopo ni wachache huu siyo uchochezi ?

Zipo kauli nyingi sana anazotoa za kichochezi.
 
Tangu tupate Uhuru nchi hii ndio Mara ya pili kuwa na Rais bora ukiacha Jk Nyerere.

Hoja zake nzuri, ana msimamo, hapendi watu wavunje amani ya nchi. Anateua makada wa chama chetu kile kuwa Ma DC,RCS, DEDS,RAS,DAS,N.k

Pia ni msomi kuliko wote toka Uhuru, ana PhD ya kusomea!!!

TATIZO
Mimi na ka elimu kangu ka ngumbalu, kana kitu sijakielewa kidogo, hii ni kutokana na Elimu kiduchu niliyo nayo, pia ni ya hapa na pale.

1. Rais alisema "Wilaya yoyote itakayokumbwa na njaa, mkuu wa wilaya hana kazi". Sasa Musoma,Bunda,Serengeti, Magu zimetangaza njaa je mbona Rais yuko Kimya?Mbona Anna Kilango alifyekwa fasta?

2.Rais alisema akiwa Bukoba kuwa waathirika wa tetemeko hawata jengewa nyumba na serikali, kwani tetemeko halikuletwa na serikali!!!

KWA HIYO NJAA IMELETWA NA WAKUU WA WILAYA? MAANA ALISEMA NJAA IKITOKEA ANAWATIMUA KAZI!!!

Ninge omba mwenye elimu ya PhD au hata darasa la nane anifafanulie, sikuambulia kitu hapo. Mimi uelewa wangu mdogo, tuvunuliane tu jamani, nipewe majawabu.
 
unamlinganisha na nani mkuu. hakuna kipindi nilishawahi kuchukia serikali tangu uhuru hadi leo hii kama kipindi hiki. mimi sio fisadi, sio mwizi, lakini kuna baadhi ya watu wakitokea kwenye luninga uwa nabadilisha channel fasta.
 
Tangu tupate Uhuru nchi hii ndio Mara ya pili kuwa na Rais bora ukiacha Jk Nyerere.

Hoja zake nzuri, ana msimamo, hapendi watu wavunje amani ya nchi. Anateua makada wa chama chetu kile kuwa Ma DC,RCS, DEDS,RAS,DAS,N.k

Pia ni msomi kuliko wote toka Uhuru, ana PhD ya kusomea!!!

TATIZO
Mimi na ka elimu kangu ka ngumbalu, kana kitu sijakielewa kidogo, hii ni kutokana na Elimu kiduchu niliyo nayo, pia ni ya hapa na pale.

1. Rais alisema "Wilaya yoyote itakayokumbwa na njaa, mkuu wa wilaya hana kazi". Sasa Musoma,Bunda,Serengeti, Magu zimetangaza njaa je mbona Rais yuko Kimya?Mbona Anna Kilango alifyekwa fasta?

2.Rais alisema akiwa Bukoba kuwa waathirika wa tetemeko hawata jengewa nyumba na serikali, kwani tetemeko halikuletwa na serikali!!!

KWA HIYO NJAA IMELETWA NA WAKUU WA WILAYA? MAANA ALISEMA NJAA IKITOKEA ANAWATIMUA KAZI!!!

Ninge omba mwenye elimu ya PhD au hata darasa la nane anifafanulie, sikuambulia kitu hapo. Mimi uelewa wangu mdogo, tuvunuliane tu jamani, nipewe majawabu.

Swali lako ni gumu.Kweli kabisa kinatakiwa lijibiwe na PhD holder.Alipo kuwa kwenye kampeni hakuahidi Njaa wala tetemeko sasa sijui wateule wake walikuwa nyuma yake kuahidi Tetemeko na Ukame!Hakika I nahitaji PhD kuielewa hotuba yake
 
Mwanaphilosofia wa Kimarekani Ralph Waldo Emerson katika kitabu chake "SELF RELIANCE"
anauliza,
Je? ni vibaya kutokueleweka?
Yesu,Luther, Pythagoras, Socrates, Copernicus, Galileo, Newton, na wengine wengi hawakueleweka, Na anamalizia kwa kusema KUWA MTU MKUBWA na WAKUKUMBUKWA NI KUTOELEWEKA.

Mtazamo wangu;
Katika kauli zake zote ukiziangalia kwa kina na utulivu bila mihemko ya kisiasa utaona mwangwi wa kitu cha msingi sana ambacho mtanzania kwa kujua au kutokujua alikihitaji mara tu baada ya uhuru.
KUJITEGEMEA na KUTUMIA NGUVU, AKILI kuyakabili MAZINGIRA Rafiki kwa maendeleo ya tanzania na inawezekana.

Kwa mara ya kwanza, Nimeona Rundo la vijana wa kitanzania Graduates ambao ingekuwa zamani wangekaa hadi ajira zitoke lakini leo wako mashambani wakilima japo bustani. Nikafarijika sana siku chache zilizopita niliposikia kauli ya kuomba pesa ya kulima kilimo cha umwagiliaji kutoka kwa binti ambaye kama isingekuwa hali hii angeishia sebuleni na degree yake akisugua vidole kwenye smartphone yake. Nikaona akili inaanza kumuijia kwa mbali

Wale waliozoea kugawiwa pesa, angalau wanaamka na kuona umuhimu wa kuitafuta.

UPANDE WA PILI WA WAPINZANI WETU
Kila wanachotuhubiria kimejielekeza kuhamasisha utegemezi, uvivu na Kumtegemea mwanasiasa kama suluhisho la matatizo ya mtanzania kitu ambacho kimeshindikana tangu 1961 na hakijawahi kufanya kazi popote duniani.

Sina uhakika kama namuelewa, Ila kuna kitu ninaanza kukiona kwa mbali japo Dots hazijakaa sawa bado kichwani mwangu.
 
Anyway we mwenyewe huna hakika na mtazamo wako huwezi mfananisha magufuli na scientists kwasababu ni vitu tofauti kama unga na maji
 
Yesu hakuwa scientist mkuu alikuwa Mwalimu,Philosopher,Kiongozi na Mtu wa dini kama kwenye list alivyoingia Luther.

Wote waliotajwa hapo wanaunganishwa na VISION ZAO sio CAREER ZAO.
Huwa sioni ulazima wa kuelewa vitu harakaharaka ila nimesema projection ya kile ninachokiona kwa mbali
 
Kama hakuwa mwanasayansi (Yesu) aliwezaje kugeuza maji kuwa mvinyo au pombe kwa kiswahili chepesi? Yesu ni Mungu aliyechukuwa umbile la ubinadamu akakaa nasi katika kutuueleka itipasavyo kuishi maisha yenye unyenyekevu na kutokujiona wewe ni bora zaidi ya yule au mie. Hivyo kumlinganisha na hao wengine akiwemo malaika wa nchi ya mashetani anayeongoza mashetani, ni sawa kuchanga mafuta ya taa na ya kupikia. Lazima kimoja wapo kitajitenga tu kwa kuwa hakina sifa za kuchangamana. Na kama unaisoma Bible kweli kweli, Yesu alieleweka na waliowengi sana isipokuwa wale wa MLENGO WA KUSHOTO (CONSEVERTIVES) ndo hawa kumwelewa hata hivyo naadaye walimwelewa ndo ndo maana hata wakina Nikodemas na the like walimwendea Yesu usiku ili kufundishwa habari za ufalme wa Mungu. Yesu, alikubali challenge na wala hakuwahi kuwasweka wapinzani wake ndani eti tu kwa kumkosoa wazi wazi na kumwita mkuu wa mapepo. Huyo mtu wako (Malaika) anaweza kumsweka mtu ndani tu tena bila sababu za msingi eti kwa kuwa tu kawasimulia watoto wake kuwa usiku ameota Malaika anakufa iwapo hataenenda kwa mujibu wa taratibu za nchi. Yesu pamoja na Umungu wake hakuwa kufanya hivyo hata kidogo. Hata hao wengine jaribu kuwafuatilia ipasavyo, waliwaacha mahasimu wao kwa maana ya wale wote ambao hawakukubaliana na hoja zao wale huru au waliwafikisha kwa pilato chini ya maelekezo? Nadhani mkuu dots zako zipange vema. Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo, anakosolewa hata leo tena kwa hoja kweli kweli, lakini ni mvilivu na anatoa fursa ya mkosoaji kujipima katika taratibu zake... vipi kwa malaika wa nchi ya mashetani? Ni mtazamo wangu pia mkuu. Nipo tayari kukosolewa kwa hoja.
 
Yesu aliwalisha mikate na samaki watu zaidi ya 5000,ondoa wanawake na watoto,hata kwenye harusi ya kana alitengeneza kinywaji.

Alitambua kwamba kuna njaaa,sasa njia ipi unayoisema wewe kumfananisha na mtu huyu ambae hatambui njaa
 
Kama hakuwa mwanasayansi (Yesu) aliwezaje kugeuza maji kuwa mvinyo au pombe kwa kiswahili chepesi? Yesu ni Mungu aliyechukuwa umbile la ubinadamu akakaa nasi katika kutuueleka itipasavyo kuishi maisha yenye unyenyekevu na kutokujiona wewe ni bora zaidi ya yule au mie. Hivyo kumlinganisha na hao wengine akiwemo malaika wa nchi ya mashetani anayeongoza mashetani, ni sawa kuchanga mafuta ya taa na ya kupikia. Lazima kimoja wapo kitajitenga tu kwa kuwa hakina sifa za kuchangamana. Na kama unaisoma Bible kweli kweli, Yesu alieleweka na waliowengi sana isipokuwa wale wa MLENGO WA KUSHOTO (CONSEVERTIVES) ndo hawa kumwelewa hata hivyo naadaye walimwelewa ndo ndo maana hata wakina Nikodemas na the like walimwendea Yesu usiku ili kufundishwa habari za ufalme wa Mungu. Yesu, alikubali challenge na wala hakuwahi kuwasweka wapinzani wake ndani eti tu kwa kumkosoa wazi wazi na kumwita mkuu wa mapepo. Huyo mtu wako (Malaika) anaweza kumsweka mtu ndani tu tena bila sababu za msingi eti kwa kuwa tu kawasimulia watoto wake kuwa usiku ameota Malaika anakufa iwapo hataenenda kwa mujibu wa taratibu za nchi. Yesu pamoja na Umungu wake hakuwa kufanya hivyo hata kidogo. Hata hao wengine jaribu kuwafuatilia ipasavyo, waliwaacha mahasimu wao kwa maana ya wale wote ambao hawakukubaliana na hoja zao wale huru au waliwafikisha kwa pilato chini ya maelekezo? Nadhani mkuu dots zako zipange vema. Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo, anakosolewa hata leo tena kwa hoja kweli kweli, lakini ni mvilivu na anatoa fursa ya mkosoaji kujipima katika taratibu zake... vipi kwa malaika wa nchi ya mashetani? Ni mtazamo wangu pia mkuu. Nipo tayari kukosolewa kwa hoja.
Hakuna asiyejua hayo yote na zaidi ya hayo. Inapokuja kumjadili yesu kwenye siasa au jamii tunamtumia kama master teacher. Sio tu hakueleweka kwa watu wa kipindi kile hadi leo wayahudi hawajamuelewa na wanamsubiri aje. Lkn dunia inamuelewa leo kuliko kipindi chake maana hata raia waliona bora baraba aachiwe kuliko innocent master teacher. Pia miujiza ya Yesu iko beyond science ni kosa kisayansi kuihusisha na sayansi maana Mingi inaviolate sheria za kisayansi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom