Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Rais hajui nani alipiga kura gani, kinachoendelea ni kuyoosha tuu bila mapungufu.
 
Ha ha ha
kesho kachukue vocha ya buku 10 na maji ya dasani kbsa kwa Mangi.
Awamu hii tumeingia choo cha kike. Ktk makosa waliyoyafanya makubwa hili la kumpa huyu bwana kura atuongozee walikosea sana tena sana.
Ila najua chozi la mdai haki ni baya sana.
 
Naona mnaanza kukufuru! Maisha Mazuri yanaletwa na Mungu wa Israel na Sio Sanamu
 
Dah,kama maandiko matakatifu yanasema tutii mamlamka zilipo.Hakuna haja ya kulalama.Wa kuongea nae ni baba yetu alie mbinguni,tusiwe kama wana wa Israeli,walivyomuasi Mungu na kusahau aliwatoa Misri.Kumbuka jina lake ili upate kufahamu ukuu wake.MIMI NIKO,AMBAE NIKO.Mnafikiri Mkuu alivyosema tumuombee,alikuwa anamaanisha nini?TUACHE KULALAMA KWA BINADAMU AMBAE NAE ATAPITA MUDA UKIFIKA,TUMUOMBEE NA TUMUOMBE MUNGU KWENYE SHIDA NA RAHA.TUTAFIKA TU,TUNAPOPATAKA.MUNGU IBARIKI DUNIA NZIMA,MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU.MAANA HATUNA TANZANIA NYINGINE!
 
Subirini, mambo matamu yanakuja
 
Funga mkanda,kaza na kamba,wanasemaga chambua kama karanga!!!uwiiiiiii!!!
 

Na Mnapelekwa Dodoma kwa Makarandinga ya Jeshi Hakuna cha Moving wala disturbance allowances Mamamaee!

Mkishamwagwa pale Udom kila Mtu atajijua mnatawanyika Kama Wadudu kutafuta Malazi [emoji12][emoji12]

Nakumbuka sana style hii aliifanya Julius Nyerere 1972 kwenye Operation Vijiji vya Ujamaa mpaka Wazee wetu wengine wakaliwa na Simba kwa kutelekezwa Kinguvu Porini kuanzisha Vijiji vya Ujamaa!

Long life Comrade JPM!
 
Tulieni. Viwanda vinakuja mtatesa
 
Hivi madai yenu mmelipwa? Mkianza kudai ataanza tena uhakiki wa madai kwa mara ya kumi na moja. Tutanyooka mwaka huu
 
Hivi madai yenu mmelipwa? Mkianza kudai ataanza tena uhakiki wa madai kwa mara ya kumi na moja. Tutanyooka mwaka huu

Wiki hii wameambiwa unaanza ukaguzi wa Index no. za Form four na form six kwa Watumishi wote Nchi nzima! [emoji3] [emoji3]

Watumishi wa Umma wanamkumbuka sana Yule waliemwita Majina Mabaya Mara Ombwe la Uongozi Mara dhaifu Mara gentleman degree!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…