Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli
Makonda
Samia Suluhu
Majaliwa Kasimu
Itifaki imezingatiwa.
Mi nadhani itifaki ipo hiviMagufuli
Makonda
Samia Suluhu
Majaliwa Kasimu
Itifaki imezingatiwa.
Nchi ya matukio hii haijawahi kuwa serious.. Media zetu nazo zinachangia sana kutokuwa serious, zinacheza na matukio yanayo trend tu kwa wakati huo na watu kushau haraka tukio la wiki iliyopita.Taifa hili chini ya ccm usahau kuwa seriously kamwe hadi Yesu arudi kwa Wakiristo tunaoamini hivyo
Naona wameunganisha uziHii ndio mbinu ambayo imekuwa ikitumika from day one tangu bwana yule aanze operation zake.
Anachokifanya ni kushughukilia yale ambayo jamii kwa ujumla inatambua hayafai na yanafaa kupigwa vita lakini katikati ya operation hizo anafanya mabaya ndani yake/anakomoa watu kwa kuwaunganisha wasio na hatia pamajo na walio waovu lengo ni kukomoa wabaya wake na wakati huo huo kuhadaa watu.
Ametumia mbinu hii kwa muda mrefu huku ikichagizwa na double standard ya hali ya juu sana na hii double standard ndio inafanya watu wengi wahoji dhamira ya matendo na maamuzi yake kama kweli anatenda mambo haya kwa nia njema.
Yaani anajificha katikati ya yaliyo mema kutenda mabaya lakini kadiri siku zinavyokwenda watu wanaanza kugundua janya yake mwisho wa siku atajikuta anatoka bila.
Hii ndio tabia yao siku hizi.Naona wameunganisha uzi
Hahaha sio maendeleo hapa zaid ya skendo mpya kila kukichaNinacho shangaa bado ATCL wanapiga hela hadi mkuu anataka CAG aje achunguze na bado ujenzi wa air port watu wanaidhinisha mihela 536B ***** watu wanaroho ngumu
Yeye mwenyewe ni mpigaji mkubwa kupitia miradi anayowapa TBAHahaha sio maendeleo hapa zaid ya skendo mpya kila kukicha