Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Baada ya jiwe la makonda kurushwa gizani tutaona thread nyingi
 
Magufuli
Makonda
Samia Suluhu
Majaliwa Kasimu

Itifaki imezingatiwa.
 
Wangekuwa serious polisi wangethibiti madawa yasiingie bandarini, airport na mipakani.
Ushahidi wa kuwatia watu hatiani ungepatikana.
Hii vita konda haiwezi peke yake bali anatafuta umaarufu kwa kudhalilisha wapinzani wake.
Akijifanya yeye ndio bingwa atakwama na ataonekana kila analoanzisha linakwama.
 
Taifa hili chini ya ccm usahau kuwa seriously kamwe hadi Yesu arudi kwa Wakiristo tunaoamini hivyo
 
Waziri wa mambo ya ndani mbona kimya hili halimuhusu kweli??

Nafkoria kwa sauti tu
 
ujenzi wa nyumba yetu Tanzania ni endelvu tunaweka tofali pale walipoishia watangulizi wetu. Hakuna anayeanza upya japo hujigamba na kuponda waliopita huku tukianza pale wenzatu walipoishia.
Ni vizuri kujua kwamba watakuja wengine na tukae tayari kubeba lawama kama tunavowabebesha waliotutangulia. hatutakaa milele madarakani pamoja na mbwembwe nyingi!
Kila aliyepewa dhamana na ajue hayo kuwa kutesa ni kwa zamu!
 
Taifa hili chini ya ccm usahau kuwa seriously kamwe hadi Yesu arudi kwa Wakiristo tunaoamini hivyo
Nchi ya matukio hii haijawahi kuwa serious.. Media zetu nazo zinachangia sana kutokuwa serious, zinacheza na matukio yanayo trend tu kwa wakati huo na watu kushau haraka tukio la wiki iliyopita.
 
Hii ndio mbinu ambayo imekuwa ikitumika from day one tangu bwana yule aanze operation zake.

Anachokifanya ni kushughukilia yale ambayo jamii kwa ujumla inatambua hayafai na yanafaa kupigwa vita lakini katikati ya operation hizo anafanya mabaya ndani yake/anakomoa watu kwa kuwaunganisha wasio na hatia pamajo na walio waovu lengo ni kukomoa wabaya wake na wakati huo huo kuhadaa watu.

Ametumia mbinu hii kwa muda mrefu huku ikichagizwa na double standard ya hali ya juu sana na hii double standard ndio inafanya watu wengi wahoji dhamira ya matendo na maamuzi yake kama kweli anatenda mambo haya kwa nia njema.

Yaani anajificha katikati ya yaliyo mema kutenda mabaya lakini kadiri siku zinavyokwenda watu wanaanza kugundua janya yake mwisho wa siku atajikuta anatoka bila.
 
Naona wameunganisha uzi
 
Ninacho shangaa bado ATCL wanapiga hela hadi mkuu anataka CAG aje achunguze na bado ujenzi wa air port watu wanaidhinisha mihela 536B ***** watu wanaroho ngumu
 
Hahaha sio maendeleo hapa zaid ya skendo mpya kila kukicha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom