Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Uchumi wa individuals kupanda ana kushuka inategemea na juhudi za muhusika mwenyewe nini anafanya na kwa wakati gani. Mimi nalia mno na kuminywa kwa freedom of speech.
 
ulimpa???
 
NYIE MTAKUWA WAFANYA BIASHARA ZA UNGA NA VIROBA. HAMFAI KUWA WATANZANIA MRUDI KWENU CONGO TUMEWACHOKA KILA UCHAO LAWAMA HAMNA JEMA.
Kama kuna vitu au posho huwa mnapewa tukumbukeni na sisi huku life gumu kinyamaa
 
Madhara ya ile kauli ya rais ya kusitisha ongezeko la mishahara na ajira kwa ajiri ya kupisha zoezi la uhakiki wa wa vyeti sasa madhara yanazidi kuwa makubwa.

1) Wastaafu ambao walipanda madaraja na hatimaye kupewa mishahara mipya mwezi may 2016 na kisha kurudishiwa ile ya zamani mpaka aug 2016 na kupewa tena mipya hiyo hiyo aug 2016 mwishoni na kustaaf hiyo hiyo aug 2016, hivyo kupeleka pay slip ya mwisho ambayo ndio haswa inatakiwa kufanyiwa mahesabu ya kiinua mgongo na pia ile ya kila mwisho wa mwezi hali imekua tofauti, yaani iko hivi, hawa pesa ya kila mwezi yashaanza kupewa kwa mahesabu ya mishayara ya zamani hivyo wameambiwa hata kiinua mgongo itakua hivyo hivyo mpaka pale rais atapotangaza usitishaji wa zoezi la uhakiki na kutangaza ongezeko hilo( kumbuja ongezeko lipo kisheria), ndipo watakapotakiwa kuandika barua za kucomplain kulipwa malimbikizo. (hapa ni kwa wastaafu waliopanda daraja tu).

2) Umefika wakati sasa serikali mje mtoe ufafanuzi juu ya lini itakua mwisho wa uhakiki wa vyeti maana muda mliotueleza yaani miezi miwili ilishaisha.

3) Acheni kujinadi eti hii ni serikali ya wanyonge wakati matendo yenu hayaakisi hivyo.

4) Inatia shaka km kweli pesa ipo km mnavyojinadi ktk majukwaa ya kisiasa hali yakua mnadaiwa malimbikizo chungu mzima mpaka imebidi CWT itangaze mgogoro na seriakali, pia eti hata pesa za kuwalipa wastaafu hamna! huu ni utani kabisa na I hate siasa.

5) Mnakera mnakera mnakera na najua wengi wana mengi ya kuongeza ikiwa ni pamoja nawale vjana 3000 waliositishiwa ajira zao.

6) Tunawasubiri 2020 coz tunaona km mnatest hypthesis kwenye swala la administration. I'm out.
 
Jitahidi sana ukawe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,ingawa inakera kabisa!!!

Matajiri wataishi kama mashetani!!!
 
Reactions: SDG
kama wale vijana ajira zao zioizo simamishwa kwakweli wanapitia kipindi kigumu sana sijui kama serikali hili swala wanalitilia maanani.
 
Alishawahi kuwaambia wasio na nauli ya pantoni wapige mbizi, kabla hata hajawa rais.

Mlivyompa urais mlitegemea nini?
 
Serikali hailimi wala haitengenezi pesa nyie lieni tu.
 
hakuna Vijana 3000 waliositishwa kazi hao Vijana wapo mahakama 380, wizara ya afya wapo abt 65 ,halmashauri,na idara nyingine ila awafiki 3000
 
hakuna Vijana 3000 waliositishwa kazi hao Vijana wapo mahakama 380, wizara ya afya wapo abt 65 ,halmashauri,na idara nyingine ila awafiki 3000
Wewe ni askari muoga ndiomana unetetea kitu usichokijuwa.
 
Awamu hii ni ya kunyonga wanyonge...kama huamini kawaulize wamachinga wanauza shilingi ngapi kwa siku
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…