OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mikwara tu,kumbe hana kitu hafai popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uza ngada ya mwenyekiti maisha yaboreke
ulimpa???Kiongozi yeyote anayedai kunisaidia na huku sioni matokeo katika uchumi wangu, Hanifai.
Nakuomba usinitie moyo hata kwa neno moja, huwezi kujigamba kwa vyovyote huku hunipi matokeo chanya kwenye uchumi wangu.
Nisikupambe kwa mgongo wa chupa, hunifai. Tena hunifai kabisa.
Urahisi sio rahisi kwa rahisi tuliofikiria Rahisi angefanya rahisi. Samahani kwa uwingi wa H na I
Kama kuna vitu au posho huwa mnapewa tukumbukeni na sisi huku life gumu kinyamaaNYIE MTAKUWA WAFANYA BIASHARA ZA UNGA NA VIROBA. HAMFAI KUWA WATANZANIA MRUDI KWENU CONGO TUMEWACHOKA KILA UCHAO LAWAMA HAMNA JEMA.
Wewe ni askari muoga ndiomana unetetea kitu usichokijuwa.hakuna Vijana 3000 waliositishwa kazi hao Vijana wapo mahakama 380, wizara ya afya wapo abt 65 ,halmashauri,na idara nyingine ila awafiki 3000