Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivi hatuwezi kuwa na mfumo wazi wakukusanya matokeo ya urais?
 
Reactions: SDG
Nafikiri kama hujui unapokwenda means you have no direction. Maana yake hukua na lengo la safari "vision" . hiyo work done is zero. Ni kupoteza muda na nguvu tu.

kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
 
kuongea ni kawaida yenu, na kukosoa kila kitu, hata angewajengea lami hadi mlangoni kwako bado ungelalamika. shame on you
 
Tulia abiria kwani we hujui unapokwenda je kwann umepanda huo usafiri?, tunaelekea Industrial Area muda si mrefu tutafika
 
JF inachekesha sana, leo hii wale ambao kila kukicha walikuwa wanamkashifu Mwalimu wanatumia maneno yake kujenga hoja. Mwacheni mwalimu apumnzike kwa Amani, nyinyi ni watu ambao hamna shukurani. Hata huyu JPM ambaye mnapiga kelele na zumari mtamkumbuka. Shukrani ya punda siku zote ni mateke.
 
Habar za asubuh wana jamvi, natumai wengi wetu tumeamka salama na kwa wale ambao siku ya leo hii hawako vizur kiafya bas naomba mwenyez mungu awafanyie wepes .
Wana jamvi, mimi ni miongon mwa wale waliokuwa wakifuatilia sana speech ya mkulu ivyo napenda tu kuwakumbushia speech yake moja ambayo kwa hakika iliweza kuwajenga watanzania wengi sana kiiman. nanukuu iyo speech yenyewe inasema " MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU" Maana halis ya speech hii ni kwamba, Mkulu ametuaminisha kwamba atakuwa mkwel siku zote na hata mung'unya maneno dhid ya tuhuma zozote zitakazo kuwa zinamkabili mtu yeyote bila kujal din, itikadi ya vyama, wadhifa wa mtu n.k. iyo ndio maana halis ya iyo SPEECH niliyonukuu apo juu.
Sasa cha kuskitisha watanzania hao hao tuliojengeka kiiman na MKULU leo hii tumekuwa na kilio kikubwa sana juu ya kinachosadikika kuwa kuna kiongozi mwenye nyadhifa kubwa ki mkoa kuwa anatumia vyeti feki na kilio iki MKULU anakisikia cha ajabu anaacha machoz ya wa tz yanaenda na maji wakati kuna watu wameshaacha kazi kwa tuhuma kama hz, na wengine wamepoteza maisha kwa sababu za tuhuma kama hz, kwa anayefaham vzr naomba anijulishe jaman, hv mkulu anafaida gan na kiongoz uyu? nimeandika uzi huu kwa uchungu sana kama mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu na ili tuijenge tanzania mpya , tunahitaji wasom, sasa kama tutaweka vilaza nina iman hii inchi haitasonga mbele, ninaposema vilaza nadhan mkulu ananielewe kwan ni neno ambalo hata yeye alishalitumia kwa wale wanafunzi 8000 wa mafunzo maalum aliowafukuza pale Dodoma!
Kimsingi ni haki yangu kukukumbusha mkulu maana hata mm pia nina amin kuwa msema kwel ni mpenzi wa mungu na ndio maana nimeamua kukukumbusha maana huenda ukawa umejisahau kutokana na kutingwa na majukum ya apa na pale, sasa mkulu ili kutujenga kiiman wananchi wako tuendelee kukuamin na kuunga mkono jitihada zako za kupambana na MIJIZI ya aina yote ikiwemo mijizi ya taaluma bas shughulikia mapema sana suala la DAUD, baada ya kusema ayo machache naomba kuwasilisha.
 
Hajasikia kabisa
 
cashengued; iyo ndio hali halis ndugu ujue inauma sana pele unapoona kiongoz anafumbia macho inshu kubwa kama hii! ebu we fikiria kuna kiongozi alitumbuliwa pale bungen kisa kaingia bungen akiwa kapiga pombe, sasa leo hii uyu anayetumia vyet feki eti anaachiwa
 
Nimekomea kusoma pale ulipoandika "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU",

To be honest najitahidi sana kumpenda mtukufu ila nashindwa kabisa,

nimeshindwa kumpenda na sijui kama ipo siku nitampenda,

sometime naomba ule utabiri wa yule jamaa utimie tu maana hamna namna
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…